PDA

View Full Version : Utambulisho



musambili
09-30-2009, 01:07 PM
Ndugu zangu wazalendo, naomba kujitambulisha kwenu katika jumuiya hii . Ni matumaini yangu kuwa nitapata fursa ya kujifunza mimi na pia jamii yangu inayonizunguka. Pia kuchangia mtazamo wangu kuhusiana na mambo mbalimbali yanayojitokeza katika Nchi niipendayo Tanzania.

mwanakijiji
10-03-2009, 09:11 PM
Karibu sana..!