PDA

View Full Version : News Alert: wanafunzi kufikishwa mahakamani!?

mwanakijiji
11-18-2008, 09:30 AM
Kuna tetesi leo asubuhi majira ya saa tano hivi kutakuwa na habari toka kwa Mkuu wa Polisi kanda ya Dar Bw. Suleiman Kova. Itakuwa ni kuhusu vijana ambao wanashikiliwa na polisi kuhusiana na mgomo wa wanafunzi. Itakuwa ni karibu masaa 48 tangu wawakamate siku ya Jumamosi na Jumapili. Je watawafikisha mahakamani leo?

Kepa
11-19-2008, 02:42 PM

Jamani hawa wanafunzi nao hawana dada, binamu au mama mdogo anatarajia kufanya SENDOFF ili waahirishiwe kupelekwa mahakamani...!!!!! !!!! ??????

mwanakijiji
11-19-2008, 05:01 PM
Jamani hawa wanafunzi nao hawana dada, binamu au mama mdogo anatarajia kufanya SENDOFF ili waahirishiwe kupelekwa mahakamani...!!!!! !!!! ??????

wenzio wanasota kichizi sasa hivi..

Kepa
11-20-2008, 02:28 AM
wenzio wanasota kichizi sasa hivi..

Hivi jamani ni nani aliyeiloga serikari yetu na vyombo vyake vya usalama na sheria? I can smell double standards almost in every angle !!!

What should be our hope?

mwanakijiji
11-21-2008, 06:09 PM
Nadhani tumaini letu ni kuendelea kuwakalia shingoni, tusilale tenna.

Kepa
11-24-2008, 04:54 PM
Nadhani tumaini letu ni kuendelea kuwakalia shingoni, tusilale tenna.

Kuamka tumeamka but they kept singing bed time songs for us to go sleep again. Should we use coffee then??? :mad:

mwanakijiji
11-24-2008, 05:33 PM
wazo zuri hilo, lakini hiyo coffee itakuwa na caffeine kweli au itakuwa ni decaf..