PDA

View Full Version : Iwapo Kesho ni Jana basi Leo ................

makange
11-18-2008, 08:45 AM
Iwapo Kesho ni Jana basi Leo ii karibu sana na Jumapili. Kama vile ilivyokuwa Jana na ndivyo itakavyokuwa Kesho.
Je, ni SIKU ipi hiyo!?

NOTE: Jibu liwe kati ya siku saba katika wiki. (mf:Jumatatu au Jumanne n.k)

Kepa
11-19-2008, 01:53 PM
Iwapo Kesho ni Jana basi Leo ii karibu sana na Jumapili. Kama vile ilivyokuwa Jana na ndivyo itakavyokuwa Kesho.
Je, ni SIKU ipi hiyo!?

Siku hiyo ni LEO. Kwi-kwi- kwi kwaaaa!!!!

makange
11-19-2008, 01:58 PM
Siku hiyo ni LEO. Kwi-kwi- kwi kwaaaa!!!!

ahahahahahahahaaaaaaaa!!!!!!!!:D:D

Kepa
11-20-2008, 01:35 AM
ahahahahahahahaaaaaaaa!!!!!!!!:D:D

Mbona umechana mbavu??? si nimejaribu ati??? ngoja niendelee kufanya mahesabu labda nikirudi nitapata jibu murua

mwanakijiji
11-21-2008, 04:05 AM
leo ni juzi!

Ach-F
11-21-2008, 10:23 PM
Iwapo Kesho ni Jana basi Leo ii karibu sana na Jumapili. Kama vile ilivyokuwa Jana na ndivyo itakavyokuwa Kesho.
Je, ni SIKU ipi hiyo!?

NOTE: Jibu liwe kati ya siku saba katika wiki. (mf:Jumatatu au Jumanne n.k)

Jumamosi na jibu rahisi ni keshokutwa.

Kepa
11-22-2008, 10:14 PM
Jumamosi na jibu rahisi ni keshokutwa.

Leo ni JUMATANO :):):)

Ach-F
11-23-2008, 09:03 PM
leo ni jumatano :):):)

Mkuu acha kutuzuga hapa jumatano siyo karibu na j2. Hebu fafanua basi!

Makange tunakupa mji wa Bagamoyo karibu kabisa na Jakaya Kikwete..

Kepa
11-24-2008, 01:48 AM
Mkuu acha kutuzuga hapa jumatano siyo karibu na j2. Hebu fafanua basi!

Makange tunakupa mji wa Bagamoyo karibu kabisa na Jakaya Kikwete..

Ningekuwa mimi ndio Makange Waalah ningegoma huo mji;);)

makange
11-24-2008, 02:57 AM
Mkuu acha kutuzuga hapa jumatano siyo karibu na j2. Hebu fafanua basi!

Makange tunakupa mji wa Bagamoyo karibu kabisa na Jakaya Kikwete..

Jamani, kwani mimi ndio nimesema jibu ni Jumatano!?
Na hilo swali lilivyo ni kuwa, kulielewa swali tu ni Sehemu ya SWALI.
Na isitoshe, Bagamoyo hata kwa MTUTU hujanipeleka Mzee:D:D

Kepa
11-24-2008, 04:00 PM
Jamani, kwani mimi ndio nimesema jibu ni Jumatano!?
Na hilo swali lilivyo ni kuwa, kulielewa swali tu ni Sehemu ya SWALI.
Na isitoshe, Bagamoyo hata kwa MTUTU hujanipeleka Mzee:D:D

Nawashangaa jamaa kila ukimshukuru mtu kwa kujaribu wanadhani ndo umeshampa maksi zoteee wabantu bwana

Huko Bwagamoyo mzee nakupongeza kwa kugoma!!!!

makange
11-25-2008, 12:42 PM
Nawashangaa jamaa kila ukimshukuru mtu kwa kujaribu wanadhani ndo umeshampa maksi zoteee wabantu bwana

Huko Bwagamoyo mzee nakupongeza kwa kugoma!!!!

Ni kweli Bwana Kepa!!
Natumai hatutatoka nje ya swali na hivyo kutoa hoja za kueleweka ili mwishowe tupate jibu sahihi lenye kuridhisha.

Kepa
11-27-2008, 07:54 PM
Iwapo Kesho ni Jana basi Leo ii karibu sana na Jumapili. Kama vile ilivyokuwa Jana na ndivyo itakavyokuwa Kesho.
Je, ni SIKU ipi hiyo!?

NOTE: Jibu liwe kati ya siku saba katika wiki. (mf:Jumatatu au Jumanne n.k)

Leo ni Jumanne. Makange ukigoma hapo walah Hatutaelewana:mad::mad:

My more
11-30-2008, 12:30 AM
Leo ni Jumanne. Makange ukigoma hapo walah Hatutaelewana:mad::mad:

Hamna lolote, acha mkwala, LEO NI JUMAMOSI nimemaliza game!

makange
12-03-2008, 06:15 AM
Leo ni Jumanne. Makange ukigoma hapo walah Hatutaelewana:mad::mad:
Hamna lolote, acha mkwala, LEO NI JUMAMOSI nimemaliza game!

Hata mimi mwenyewe sijui jibu. Kwa hiyo siwezi sema jibu ni lipi na lipi sio jibu:confused:

Kepa
12-04-2008, 12:03 AM
Hata mimi mwenyewe sijui jibu. Kwa hiyo siwezi sema jibu ni lipi na lipi sio jibu:confused:

Turudishie (pesa) kiingilio chetu:D:D

My more
12-07-2008, 01:25 AM
Turudishie (pesa) kiingilio chetu:D:D
Mwenzetu ushapewa hiyo kiingilio eeeeh??:cool: