View Full Version : Mramba kushitakiwa!
mwanakijiji
11-18-2008, 07:27 PM
Uchunguzi wa PCCB umekamilika kuhusu Alex Stewart na msamaha wa kodi uliofanywa na Waziri Mramba.
sunet-e
11-19-2008, 01:36 PM
Uchunguzi wa PCCB umekamilika kuhusu Alex Stewart na msamaha wa kodi uliofanywa na Waziri Mramba.
Sasa wewe Mheshimiwa usiwe na jicho baya kwa Mhe. Mramba-alifanya hivyo akiwa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- na sio Mramba per see.
sasa wewe mheshimiwa usiwe na jicho baya kwa mhe. Mramba-alifanya hivyo akiwa waziri wa fedha wa jamhuri ya muungano wa tanzania- na sio mramba per see.
whatever!!!!!!!!!
makange
11-19-2008, 02:53 PM
whatever!!!!!!!!!
Du!!! Baba una MIHASIRA!!!!! teh...teh...teh...teh...:D:D:D
mwanakijiji
11-19-2008, 05:00 PM
Sasa wewe Mheshimiwa usiwe na jicho baya kwa Mhe. Mramba-alifanya hivyo akiwa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- na sio Mramba per see.
hilo ni moja tu, kwani mtu mwizi akiiba akiwa ni Mkurugenzi wa Shirika fulani, atashikwa yeye mwenyewe! :D
Du!!! Baba una MIHASIRA!!!!! teh...teh...teh...teh...:D:D:D
Ni kweli bwana inatia kichefuchefu sana ndugu yangu. Nadhani utakubaliana nami katika hilo
hilo ni moja tu, kwani mtu mwizi akiiba akiwa ni Mkurugenzi wa Shirika fulani, atashikwa yeye mwenyewe! :D
Sawa sawa Mwenyekiti, kwani lazima shela/ chandarua kitolewe ndipo bi-arusi ashughulikiwe. Nashangaa majamaa yanatetea.
Hebu tupate hint kidogo hapa:-
What is piercing the veil of incorporation?
The process of imposing liability for corporate activity, in disregard of the corporate entity, on a person or entity other than the offending corporation itself.
Generally, the corporate form isolates both individuals and parent corporations (see subsidiary [subsidiary corporation]) from liability for corporate misdeeds. However, the courts will ignore the corporate entity and strip the organizers and managers of the corporation of the limited liability that they usually enjoy when, for example, the incorporation itself was accomplished to perpetrate a fraud. In doing so, the court is said to "pierce the corporate veil."
mwanakijiji
11-19-2008, 11:39 PM

Somo zuri hilo! lakini wanalielewa?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.