PDA

View Full Version : Kama hadi Tiger ana cheat; wengine si ndio kasheshe!?

mwanakijiji
12-03-2009, 07:54 AM
Kwa kweli kuna mambo yanakatisha tamaa kweli! Sasa kama tu kama Tiger Woods mwenye mke mzuri, hela, watoto wazuri na kila aina ya ujiko anaamua kwenda kwa "vichupi mkononi"... sisi wengine si ndio tutaonewa na umaskini wetu? Lakini katika mazingira haya ni bora hawa wawili waachane au ndio "kosa moja" halivunji ndoa?

Hivi ni vigumu mtu kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako hasa ukiwa na kaujiko ka aina fulani?

Ach-F
12-03-2009, 04:18 PM

MM

Lazima uelewe kitu kimoja, kwa nini wanaume au akinadada wanacheat - kwanza ni kupata experience sio kwamba hawawapendi wake zao au mabwana zao.

Pili kuweza kujua tofauti akiwa na mtu mwingine etc. Wengine hawafahamu uzuri na utamu wa kufika kileleni sasa kila siku anasikia hizo hadithi kwa nini asijaribu kwa wengine kama hafikii?

Hakuna jipya hapo tena kwa ulaya ndio balaa unaweza kukuta Tiger hakuwahi kulala na bibi yoyote yule hadi alipooa.

The Idiocity of Western media Tiger will be fine tunachotaka ni aendeleze kushinda tuu kwenye Golf Course mengine tumwachie mkewe kama wameshindana si wanaachana! Mnakumbuka Bill Clinton, Diana, Balesconi etc the list goes on au Jakaya Kikwete?

mwanakijiji
01-15-2010, 06:35 AM
duh.. unajua pale mwanzoni watu walikuwa tayari kumminyia kobisi (damn.. I feel real old).. ilipofikiriwa kuwa ni mtu mmoja au wawili.. namba ilipofika kumi.. hata washkaji zake ikabidi watafute kisingizio..!!