PDA

View Full Version : Hodi hodi wenyewe?



Wacha
12-20-2009, 11:12 AM
Hodi hodi wenyewe?

Jamani mpo salama hapa? Naona kimya vipi mpo!

outlier
12-22-2009, 04:26 AM
karibu sana wacha; watu wamepotea kidogo kwa maandalizi ya ma-sikukuu nadhani...,

Ach-F
12-22-2009, 09:58 PM
Karibu karibu kijijini.