PDA

View Full Version : Coco Beach! - kweli jamani?



mwanakijiji
12-27-2009, 06:17 AM
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1261811720_no._1.jpg

Hivi kweli jamani tumeshindwa kuendeleza eneo lolote la ufukweni na kulijenga kuwa la kisasa au hadi waje wawekezaji pia?

Ach-F
12-27-2009, 08:02 PM
http://www.dailynews.co.tz/pics/12_09_w4u9tz.jpg

Christmas revellers while away the time on boxing Day
at Coco Beach in Dar es Salaam today. (Photo by Fadhili Akida)

Si unafahamu sisi ni shamba la bibi?

Max Shimba
04-03-2010, 09:22 PM
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1261811720_no._1.jpg

Hivi kweli jamani tumeshindwa kuendeleza eneo lolote la ufukweni na kulijenga kuwa la kisasa au hadi waje wawekezaji pia?

Kama hakuna ulaji, sahau Mkuu. Ukiona pana ka-arufu ka VIJISENTI basi hata Bunge litaanza kuzungumzia COCO BEACH.

Ngoja nikirudi bongo niombe serikali wanipe ruhusa ya kuweka uzio na kuanza kulipisha kodi wote watakao ingia Beach, lol. Kisa, nasafisha beach,

MAHESABU
09-23-2010, 10:47 PM
tuzitumie fukwe zetu vizuri kwa kujiburudisha huku matunzo yakiwa ya hali ya juu...tuwapatie watu ajira ya kusafisha na kutunza fukwe

Mkiritimba
01-02-2011, 03:04 PM
Coco beach ni beach ya wanyonge,ikiwekwa kisasa itabidi gharama zibebwe na watumiaji.Kinachohitajika hapo ni raking tu na dustbins za kutupia takataka.Beach za kistaarabu zipo huko kwenye gharama,waachwe watoto wa mbagala waje waogelee kwa raha zao.Ganda la muwa la jana,chungu kaona kivuno