PDA

View Full Version : Do you like Star Trek?



mwanakijiji
12-29-2009, 10:12 AM
I'm a Trekkie.. kati ya series zake napenda zaidi "The Voyager" na "The Next Generation". I'm planning to order my Star Trek Uniform. Ambayo siipendi ni "Enterprise"..

Officers of The Next Generation:

http://threetreesstudios.com/andscifi/wp-content/uploads/2009/03/01_star_trek_the_next_generation_500_375_paromount _pictures.jpg

Na hapa chini: Voyager

http://www.tnpsc.com/downloads/StarTrekVoyager.jpg

Wacha
12-29-2009, 08:17 PM
Watoto wangu walikuwa wanaipenda zamani kidogo the've grown out of it now. Wako kwenye PS na blue ray nk.

BTW michezo ya computer games siku hizi ni mingi sana, kitu ambacho nilikuwa nafikiria ni jinsi gani hasa watoto hususan Tanzania wanaweza kupata kwa wingi michezo mbali mbali ukizingatia gharama yake?

mwanakijiji
04-04-2010, 06:28 AM
Unajua ukiangalia sana Star Trek unajifunza mambo mengi sana kuhusu leadership. Ningekuwa na uwezo fulani ningetumia ST kufundisha watu utatuzi wa migogoro, uongozi n.k..