PDA

View Full Version : Kuipinga serikali ya Iran ni dhambi!



mwanakijiji
12-30-2009, 08:19 PM
Kuna maajabu duniani; msemaji wa Ayatollah Khamenei amedai kuwa wapinzani wanaoandamana nchini humo kuipinga serikali ya Iran wanafanya vitu ambavyo ni kinyume na mapenzi ya Mungu.. tutafika kweli.