View Full Version : Heri ya Mwaka Mpya 2010
mwanakijiji
12-31-2009, 08:46 AM
Mambo yote mwaka huu unaokuja yatakuwa hapa; kama kitu hakiko hapa basi ujue siyo habari! Heri ya mwaka mpya wanachama, mashabiki, wapenzi na wakosoaji wote. Tukutane maajaliwa ya Mwaka mpya na nguvu mpya na mwamko mpya kabisa wa kutekeleza ile ajenda. Tafadhali tarajia salamu zetu za mwaka mpya wiki ijayo pamoja na majibu yetu kwa Benki Kuu, watetezi wa ngwe ya Pili ya Kikwete, na watetezi wa ufisadi...
Pia usisahau ripoti yetu Maalum juu ya Nafasi ya Tanzania katika Biashara Haramu ya Silaha - Kile UN hawakukisema"...
Mbarikiwe na mfanikiwe katika yote yaliyo mema!
M.M. (kwa niaba ya Timu!).
Ach-F
12-31-2009, 05:26 PM
Happy new year to all - Members and readers.
Tutaangalia yanayotokea around the world katika picha. Tunaomba sana hasa walio Bongo kama wanaweza kuweka picha hapa za mwaka mpya.
Ach-F
12-31-2009, 05:32 PM
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47015000/jpg/_47015627_008481191-1.jpg
Sydney - Australia tayari 2010 ....
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47015000/jpg/_47015628_008481082-1.jpg
Phillipines watoto wakipiga honi za makaratasi karibu
na zoo na Tiger ooops Tiger kule Manila
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47015000/jpg/_47015440_008481015-1.jpg
Hapo ni Tokyo Mapadri wa Shinto wakikaribia Meiji Shrine
walipokuwa wanajiandaa kwa mwaka mpya.
Ach-F
12-31-2009, 05:38 PM
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47015000/jpg/_47015439_008481161-1.jpg
India kwenye mto ganges Allhabad kwenye magh Mela festival
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47015000/jpg/_47015854_008481311-1.jpg
Pakistan bado zinapigwa huko kisa mataliban na .....
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47015000/jpg/_47015629_008481240-1.jpg
Waombolezaji wa Indonesia wakimkumbuka
rais wao Abdurrahman Wahid walipomzika East Java - Jombang
Ach-F
12-31-2009, 05:42 PM
Australia jinsi walivyoukaribisha mwaka - Bofya hapa (http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/asia-pacific/8436353.stm)
Ach-F
01-01-2010, 03:06 AM
Tulio GMT ndio muda wetu wa 2010 na sisi kujidai nyie wa USA mlie tu teh teh teh ... subirini.
Ach-F
01-01-2010, 03:11 AM
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47018000/jpg/_47018110_008482690-1.jpg
London South Bank
Ach-F
01-01-2010, 03:29 AM
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47017000/jpg/_47017119_sydney766ap.jpg
Sydney Australia
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47017000/jpg/_47017883_008481709-1.jpg
Tokyo Japan
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47017000/jpg/_47017121_india766afp.jpg
Amritsar India
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47017000/jpg/_47017122_iraq766afp.jpg
Bahgdad Iraq wanauza hapo fire crackers na balloons
Ach-F
01-01-2010, 03:31 AM
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47017000/jpg/_47017123_bishkek2766afp.jpg
Bishkek hapo mjomba Kyrgyzstan
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47017000/jpg/_47017885_008481902-1.jpg
Chechnya hapo
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47017000/jpg/_47017184_montevideo341afp.jpg
Uruguay usipite chini ya ghorofa wanakumwagia maji kumaliza mwaka ....
http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/47018000/jpg/_47018098_008481933-1.jpg
Singapura hapo
Ach-F
01-01-2010, 03:37 AM
Dar Es salaam naambiwa umeme umekatika ati ni kweli?
Mwanakijiji atakayeleta picha ya kwanza kutoka Bongo kabla ya kesho jioni saa za EAT atapata kidonge kinono cha mwaka mpya cha shilling elfu hamsini. Sawa na ?25 za kiingereza.
Sharti ni lazima iwe Original siyo iliyotumiwa na magazeti ya Tanzania na mpunga utatumwa Bongo kwa njia ya Western Union.
Ach-F
01-01-2010, 03:58 AM
Bofya hapa (http://news.bbc.co.uk/1/hi/8436016.stm?ls)
gashle
01-01-2010, 05:09 PM
Mwanakijiji na wanabodi
Mimi nawatakieni heri na fanaka (za kibinafsi) katika mwaka huu tulioanza. Jamani, wale wanaokuwa na ndoto za kuwa na matarajio hewa, poleni. Maisha ni yale yale tu, mafisadi, wizi (wote wa maliasili, kura), ugumu wa maisha nk. Mtanzania atendelea kuwa condemned na kutokana na ujuha wake, November mtasikia hapa, asilimia 90! Asilimia 90 my foot!!! Nina hasira mwenzenu!
Ach-F
01-01-2010, 07:19 PM
http://www.dailynews.co.tz/pics/01_10_vj41c3.jpg
Kutoka Dar mtoni maelfu ya wakazi wa bandari salama wakisheherekea 2010 na bendera za JMT kwenye kiwanja cha Independence.
(Photos by Fadhil Akida)
Degauche2008
01-01-2010, 10:57 PM
Dar Es salaam naambiwa umeme umekatika ati ni kweli?
Mwanakijiji atakayeleta picha ya kwanza kutoka Bongo kabla ya kesho jioni saa za EAT atapata kidonge kinono cha mwaka mpya cha shilling elfu hamsini. Sawa na ?25 za kiingereza.
Sharti ni lazima iwe Original siyo iliyotumiwa na magazeti ya Tanzania na mpunga utatumwa Bongo kwa njia ya Western Union.
Heri Mwaka mpya members wote wa Mwanakijiji.com,kila la kheri kwa huu mwaka mpya ni imani yangu na matarajio yangu kuwa tutajiandaa vyema kwenye Box la kura hapo october ili tuweze kumpata kiongozi mkuu wa nchi na wabunge watakaotupeleka iliko Tanzania yenye Maziwa na Asali.
Ach-F
01-02-2010, 03:03 AM
Naona mpunga ulikuwa kidogo. Shindano letu lijalo litakuwa na zawadi ya ?100.00 endelea kufuatilia hii forum ujinyakulie zawadi.
Ach-F
01-02-2010, 03:22 AM
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC45F9000005DC-507_964x596.jpg
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC4592000005DC-952_964x785.jpg
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC456D000005DC-29_964x794.jpg
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC4545000005DC-169_964x619.jpg
Ach-F
01-02-2010, 03:23 AM
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC45A2000005DC-199_964x580.jpg
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC45A6000005DC-260_964x690.jpg
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC1A39000005DC-429_964x496.jpg
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC1AE7000005DC-198_964x566.jpg
Ach-F
01-02-2010, 03:24 AM
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC2235000005DC-574_964x465.jpg
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC131E000005DC-228_964x456.jpg
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/01/01/article-1239756-07BC18A6000005DC-553_964x528.jpg
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.