PDA

View Full Version : Fikra Sahihi- Tuamue Kabla ya Kuchagua

Bissa
01-06-2010, 06:52 PM
Hodi hodi wanavijiji wenzangu nimeamua kuwaunga mkono baada ya kukaa sana nikiwa mtazamaji wakati nikiona dhahiri namna taifa linavyozama kwa sababu tu ya kukabiliwa na Ombwe la Uongozi. Ni mwaka wa Uchaguzi kuna ndugu yangu kaniambia tunapaswa kuamua (naongezea kwa dhati) kabla ya kuchagua.

Bissa

Wacha
01-06-2010, 07:41 PM

Lazima tuwashike kooni.

mwanakijiji
01-07-2010, 08:42 AM
Karibu sana tuwe pamoja!