PDA

View Full Version : Mtatiro azungumzia kukamatwa kwake na Polisi



mwanakijiji
11-20-2008, 09:05 AM
Mara baada ya kupata dhamana katika kesi yake ya uchochezi iliyofunguliwa mjini Dar, Bw. Julius Mtatiro alipata nafasi ya kuzungumza nasi kupitia KLHN kwa kirefu kuhusu sakata zima la kukamatwa kwake na madai mbalimbali yaliyozunguka tukio la kukamatwa na muda aliokuwa mikononi mwa Polisi. Je ni kweli aliteswa, Je alikataliwa mwanasheria, na je anahusika vipi na migomo inayoendelea kiasi cha kufunguliwa mashtaka mazito kama haya?

Sikiliza majibu kupitia MWANAKIJIJI.COM (http://www.mwanakijiji.com) au KLHN (http://WWW.KLHNEWS.COOM) (site zote mbili zinafanya kazi).

Kwenye ukurasa wa mbele unaweza kusikiliza Live au kwa kubonyeza alama ya "M" upande wa kulia.