PDA

View Full Version : Hodi Hodi Kijijini!!!!!!!!!



Sema Nao
01-29-2010, 03:06 PM
Niaje wanakijiji? Mtu wenu ndio najaa golini.....tuko pamoja wadau!!

Wacha
01-29-2010, 07:02 PM
Karibu sana jukwaani. Vipi Sema nao ulikotoka wazima? Wanasemaje?