PDA

View Full Version : Wingu limetanda



mwanakijiji
02-08-2010, 10:15 AM
sijui ni kitu gani lakini wiki hii imeanza vibaya.. naona kuna wingu la vifo ajali nyingine kubwa ya vyombo vya usafiri au msiba mzito. Tumwombe Mungu atuponye na kutuokoa. Bado kuna kiza juu ya nchi yetu.

mwanakijiji
03-04-2010, 07:29 AM
Hili limetimia; lakini bado kuna wingu..

Matigari
03-17-2010, 05:19 PM
Ajali au matetemeko? sasa tufanyeje? Tutambike au tukeshe tukisali?

mwanakijiji
03-17-2010, 06:08 PM
Matigari.. I have no idea.. kwa mfano bado kuna suala la vifo vya kwenye migodi, machimbo au mahali pa kazi.. hili bado naona linawezekana in the next two weeks. Sijui kama hata hawa waswahili wanajiandaa.. au kila mmoja anaoemba isitokee..

mwanakijiji
03-25-2010, 08:56 AM
Matigari... ulikuwa wapi..

Matigari
04-14-2010, 03:45 PM
Matigari... ulikuwa wapi..

Nipo tu ndugu yangu siingii sana kwenye mtandao, naogopa kuwa addicted, maana mijadala ya hapa saa nyingine inaweza kukuzamisha ndani ya net ukasahau mambo mengine.

Nashukuru kwa kuwa na huu ukumbi, keep it up.