View Full Version : Stop Foreign Aid to Tanzania!!!
mwanakijiji
11-21-2008, 06:45 PM
Jana katika "press briefs" ambazo zinaingia KLHN kila siku nilipata ujumbe toka Ubalozi wa Marekani kuelezea mradi wa kliniki iliyofunguliwa Mpwapwa leo. Sehemu ya ujumbe huo (kama note kwa Wahariri) ilidokeza vipi (maneno ya mabano ya kwangu):
The United States of America is a global leader in combating HIV/AIDS worldwide through PEPFAR, the U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief. This 10-year, $30 billion program, is the largest initiative in history to combat a single disease. Since its inception in 2003 (ndani ya miaka mitano iliyopita MM), the American people have provided over $817 million to combat HIV/AIDS throughout Tanzania.
Leo nikiwa na "mind my own dann business" nikapata briefs nyingine toka Ubalozi wa Uingereza (check habari kwenye mwanakijiji.com) na sehemu yake inasema hivi:
6. Elimu ya shule ya msingi, pamoja na Shule ya Uhuru Mchanganyiko, inasaidiwa na Serikali ya Uingereza kupitia mchango wake wa Kuunga mkono Bajeti ya Tanzania ujulikanao kama General Budget Support (GBS). Katika miaka mitano iliopita, Tanzania imepokea $900 milioni za Marekani (takriban ?500 milioni) kama msaada kutoka Uingereza. Na mwaka huu, Uingereza itatoa ?120 milioni moja kwa moja kwa Tanzania, ambayo ?105 milioni ni za Msaada wa Bajeti ya Kupunguza Umasikini (PRBS) kwa serikali ya Tanzania. Uingereza ndio mfadhili mkubwa kati ya wafadhili 14 wa PRBS Tanzania. Fedha za PRBS zikichanganywa huwezesha serikali kutekeleza mpango wake wa kupunguza umasikini unaojulikana kama MKUKUTA.
My Take:
Taifa lililodekwa halijalii matumizi ya vitu vyake kwani linajua wajomba wataendelea kulimwagia vitu vingine zaidi. Tuanzishe kampeni ya kusitisha misaada ili kuwalazimisha watawala wetu kuanza kupanga na kusimamia kidogo walichonacho? Haya ni mataifa mawili tu, sijaingia kwenye Ujerumani, Japani, Ufaransa, na Scandinavia!!!!
Katika mazingira haya, mnaweza kweli kuona athari ya upotevu wa karibu dola bilioni 1 toka Benki Kuu in the past 10 years? Of course not!
Ach-F
11-23-2008, 01:12 PM
Watanzania walipa kodi bado wamelala usingizi wa pono. Pesa zao za kodi zinatafunwa na Jakaya Kikwete na genge lake la wahuni kutoka CCM. Hawa ni wezi tena sio wa kuku bali uhujumu wa uchumi.
Je serikali inafanya nini na kodi zote hizo kwa maendeleo yao (0) sifuri kila kukicha hotuba za kuomba omba kama watoto ya tima. Ni Tanzania pekee inayoongoza kwa kupewa pesa za misaada ambayo haijaibadilisha Tanzania kuanzia barabara mbovu, nyumba mbovu, maji machafu, umeme usiokuwa na uhakika, usafiri wa enzi ya Carl Peters kwa raia wake n.k.
Leo hii tunataka ati kupiga hatua wakati kuna vijiji na sehemu ambako bado wanategemea punda kusafirisha mazao yao. Jakaya Kikwete na CCM wameoza na wanatakiwa kutupwa jalalani.
Mpita Njia
11-23-2008, 04:18 PM
Hivi cha muhimu ya kufanya kampeni ya kusitisha misaada au kuwabana watawala ili misaada itumike vizuri kuleta maendeleo? nauliza hivi kwa sababu kuna uwezekano tukifanikiwa katika kampen ya kusitisha misaada, wataingilia kuzila fedha zetu za ndani
mwanakijiji
11-23-2008, 07:05 PM
Hivi cha muhimu ya kufanya kampeni ya kusitisha misaada au kuwabana watawala ili misaada itumike vizuri kuleta maendeleo? nauliza hivi kwa sababu kuna uwezekano tukifanikiwa katika kampen ya kusitisha misaada, wataingilia kuzila fedha zetu za ndani
Nadhani ni kusitisha misaada, kwani watawala kamwe hawawezi kusimamia misaada vizuri. Wangekuwa na uwezo huo wangefanya miaka karibu hamsini iliyopita na Tanzania leo ingekuwa pepo ya Afrika!
Wakisitisha misaada ndio watu watajua what we are missing!!
Ach-F
11-23-2008, 09:56 PM
Mpita Njia, Mwanakijiji
Kwanini tutegemee walipa kodi wa nchi za ulaya na kwingineko sisi ni vilema? Misaada inayotolewa ni geresha kwani wanakomba rasilimali zetu mara mia ya hiyo misaada. Hadi leo hii asilimia 99 ya Watanzania bado wanatumia ndoo kwenda kuoga. Yaani enzi zile zile za utumwa bado tunaendeleza pit latrines etc. tena huko mijini.
Nchi za wenzetu waziri au mkuu wa nchi kutembelea maendeleo n.k. anapanda treni au mabasi ni kiasi cha kuchagua tu. Wakati hiyo ni ndoto kwa Tanzania. Iweje leo hii maofisa wa serikali wanatumia pesa ya walipa kodi vibaya hadi siku ambazo siyo za kazi wanatumia magari na mafuta ya walipa kodi kwa shughuli zao binafsi? Kwa nini wasitumie pesa wanazolipwa? Mlipa kodi wa Tanzania hawezi kukubali kumlipia waziri anapokwenda kujichana kwa shughuli zake za binafsi.
mwanakijiji
11-26-2008, 04:02 AM
Finally kuna mtu kaona nilichokua nakizungumzia:
Causes of corruption (BBC)
The symptoms of corruption are easy to spot.
Teachers demand bribes from their students because they cannot get by on their wages. Government officials, doctors and nurses steal drugs meant for their patients to sell on the black market. African leaders have property portfolios across the globe, while their citizens live on $1 a day or less.
Sorious Samura at his old school
It is in the classroom that many get their first taste of corruption
But searching for the causes, I had to ask myself some difficult questions.
People often say a nation gets the government it deserves. And we Africans have certainly made some bad choices in terms of leaders, but all too often Western aid has ended up bankrolling them.
Aid has offered legitimacy to corrupt and autocratic regimes, allowing them to hang on to power even when they have lost popularity with their own citizens.
While we were filming inside Uganda's largest hospital, Mulago hospital, these thoughts came sharply into focus.
We saw dozens of mothers with their newborn babies lying on the blood-splattered floor next to disposed needles.
HAVE YOUR SAY
The aid has had little effect because the aid never gets to the people and the organisations that need it
CB, London
Send us your comments
Victims of road accidents were hauled into hospital by relatives because there are few porters, few trolleys and even fewer ambulances. Some patients were even left to bleed on the floor.
These are images I have seen repeated all over Africa and it left me wondering, why we Africans cannot demand greater accountability from our leaders.
Why do they keep getting away with this level of neglect? But I was quickly reminded of the proverb taught as a nursery rhyme to African children - he who pays the piper calls the tune.
Woman washing clothes in Freetown river
Despite huge aid efforts for the very poorest Africans little has changed
Many sub-Saharan African countries have had high levels of aid dependence - in excess of 10% of gross domestic product, or half of government spending - for decades.
When half the government budget comes from aid, African leaders find themselves less inclined to tax their citizens.
As a result, governments that are highly dependent on aid pay too much attention to donors and too little to the actual needs of their own citizens.
And unfortunately donors have their own objectives which are not always the same as the citizens of African countries.
'Rewarding failure'
Building new schools and clinics in record numbers looks good on paper and makes politicians look good in front of voters back home. But when these clinics lack the most basic facilities and there are not enough teachers in the classroom, it is the ordinary Africans who get a raw deal.
Another criticism of aid increasingly voiced by Africans, but rarely heard in the West is that it sponsors failure, but rarely rewards success.
Children in Freetown, Sierra Leone
One fifth of children in Sierra Leone will not see their fifth birthday
While I was filming in Uganda, local newspaper editor Andrew Mwenda took me and my crew to his home village near the town of Port Loco in the west of the country. There he introduced us to two men, one in his sixties and one aged 26.
"This man represents the tragedy of aid," he said pointing to the older of the two. "While this man represents the potential of aid," he said indicating the younger man.
Mr Mwenda explained that the sexagenarian was the chairman of the local parish council who had spent most of his life living off aid money, supervising projects meant to benefit the community.
Today he is an alcoholic who still lives with his mother.
Dysfunctional lifestyle
The younger man started selling potatoes in the village square at the age of 17.
Less than 10 years later he owns the largest and busiest store in the village. He has not received one penny from aid, yet he has bought himself land and has built a house.
"So you see," Mr Mwenda said. "If aid were to offer this young man support in the form of low interest credit he could not only expand his business offering employment opportunities and a valuable service to his community, he could also eventually pay the money back."
Injured man lying on floor
In Mulago hospital injured people lay on the blood-spattered floor
But instead of funding innovation and creativity, aid has funded the chairman's dysfunctional lifestyle.
Prolonged aid programmes also have wider implications for developing economies. Thirty years of aid dollars flowing into the Ugandan economy has left the country suffering from what economists refer to as the "Dutch disease".
Large inflows of foreign currency push up the value of the Ugandan shilling making its agricultural and manufactured goods less price competitive.
This results in fewer exports and less home-grown, sustainable earnings for the country.
Local entrepreneurs such as coffee growers and flower exporters should be cashing in on rising food and commodity prices across the globe at the moment, but they are finding themselves crowded out of their own economy by foreign aid dollars.
Graduates lost
Small African producers also have to compete with heavily subsided products from Europe and North America.
Mother and child on labour ward floor
And in the labour ward mothers and their newborns are often without a bed
Uganda's cotton industry is capable of exporting almost half a million bales per year, but so far in 2008 the country has only managed 160,000 bales.
High government subsidies for North American cotton farmers prevent Ugandan producers from offering competitive prices in international markets.
In their glossy pamphlets and on the pages of their high-spec websites, donors tend to wax lyrical about the importance of trade to Africa's future, yet very little progress has been made on opening up international markets. African producers still represent just 1% of global trade.
And at least 70,000 skilled graduates abandon the continent every year, often trained by Western aid, but unable to stay in the market because salaries are so low.
Until these gifted and enterprising people can be attracted to return, most of the world's peacekeeping efforts, on the continent, and certainly most of its aid, will have little effect.
chimpungururu
11-27-2008, 06:15 PM
Misaada imetulemaza kiasi cha kushindwa kuzisimamia rasilimali zetu na kuacha zipolwe kirahisi.
'He who pays the piper calls the tune'.
Shukrani MKJJ kwa 'Mnukuu' huo niliouchomoa hapo juu. Inazidi kunitia changamoto nisiondoke kwenye mdumange niliolipia hadi waucheze ule wimbo ninaoutaka!!! Huo ndio wajibu wetu sisi wote tuliowaajiri (wapigia kura) viongozi wetu.
.' LAZIMA WAPIGE MUZIKI TUNAOCHAGUA SISI' .....Haya On your Marks.....get ready ......GO.....!!!!
mwanakijiji
11-28-2008, 02:49 AM
Kuna kiongozi mmoja amenitumia ujumbe kuwa tusitishe hii kampeni na tusiiache ipambe moto kwani JK tayari ameanza kufanya "kweli". Kwamba wafadhili wanaanza kufurahishwa na hatua za serikali kushughulikia vitendo vya kifisadi.
Kuna kiongozi mmoja amenitumia ujumbe kuwa tusitishe hii kampeni na tusiiache ipambe moto kwani JK tayari ameanza kufanya "kweli". Kwamba wafadhili wanaanza kufurahishwa na hatua za serikali kushughulikia vitendo vya kifisadi.
Uliona wapi ndege ikiwa angani inapiga reverse?
Wearing same combats does'nt mean we are in the same war with them!! Open your eye guys.
Kuna wale wa kutaka kura (temporary) na wale wa kuikomboa nchi (permanent)
Wewe upo upande upi?
kurutamatata
11-28-2008, 03:52 PM
Hii nchi imeoza na sasa limebaki Bua tupu!Kama kuna sumu iliyoiozesha nchi basi ni Misaada ya Nje.Fiscal Policy/Sera ya Kodi,Mikopo na Mapato imekufa kwasababu fedha za bure zipo pindi tu utakapo bonyeza kitufe!Kiwango cha kodi kwa bidhaa mbalimbali badala ya kuchochea ukuaji wa uchumi kimegeuka kuwa sumu na kikwazo cha kukua kwa uchumi.Hakuna anayejali madhara yake,wala iwapo mapato yatokanayo na kodi yatapatikana kama ilivyotarajiwa au la,hata yasipopatikana pesa za bure zitakuwepo,shida ya nini?Matokeo yake uchumi umevurugwa ile mbaya kiasi ambacho hata zikimwagwa Matrilioni ya Dola za Kimarekani hapa nchi hazitaleta mabadiliko yoyote katika uchumi wetu.Sana sana zitazidisha kupanda kwa bei za vitu na bidhaa chache zinazozalishwa hapa nchini.Waingizaji wa bidhaa za nje hata wakikwepa kulipa kodi,taabu ya nini na pesa za bure zipo?Kuna mtu aliyejiuliza kwanini kodi mbalimbali za bidhaa hapa nchini ni kubwa mno kupita kiasi,zaidi ya asilimia 100% ya bei halali ya kiwandani?Mfanyabiashara kesha rahisishiwa kuuza bidhaa kwa bei kubwa mno yenye kodi ya serikali ndani yake na hivyo akifanikiwa kukwepa kulipa kodi hiyo basi faida au ziada yote itakwenda kwa mfanyabiashara lakini Lawama itakwenda kwa serikali kwa ukali wa gharama za maisha!Serikali itapoteza Mapato,Watu wataishushia Lawama kibao serikali yao kwa maisha magumu,Lakini mfanyabiashara atakuwa kawageuza wote wawili serikali na watu wake WAJINGA WAKUBWA!Kiufichoficho Maafisa wa Kodi wa serikali watakuwa wanakula sahani moja na Wakwepa Kodi wafanyabiashara wakubwa na serikali nzima itageuzwa maHopeless watupu!Habari ndo hiyo,wabongoooz!Lack of Transparency especially in the Treasury NI BALAAA TUPU!Bureaucratic Rigidities in the Civil Service has grounded the functioning of the State Machinery down to a Halt!KWA MAKUSUDI KABISA ,USIDHANI HAWA WAJOMBA HAWALIELEWI HILI!Mpaka litakapo walipukia Usoni ndiyo watashika adabu!Tufe na EPA mpaka kieleweke.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.