mwanakijiji
03-11-2010, 08:51 AM
Walipopitisha sheria ya kuundwa upya TAKUKURU ya 2007 na kuongeza makosa mapya ya rushwa nilifikiria ingetosha kushughulia rushwa wakati wa Uchaguzi..oh no! hawakuingiza lolote linalohusiana na uchaguzi au kuzuia fedha chafu.. wakaisifia ile sheria weee hadi watu wengine wakaikumbatia wakiiamini..
miaka mitatu baadaye wanakuja na sheria nyingine ya kushughulikia Rushwa kwenye uchaguzi.. guess wanamuagiza nani kuisimamia!!!? TAKUKURU..
Magenius wetu hao!!
miaka mitatu baadaye wanakuja na sheria nyingine ya kushughulikia Rushwa kwenye uchaguzi.. guess wanamuagiza nani kuisimamia!!!? TAKUKURU..
Magenius wetu hao!!