PDA

View Full Version : Uadilifu unapolipa.. inatia moyo!



mwanakijiji
03-15-2010, 08:38 PM
http://3.bp.blogspot.com/_stxylFr6jLM/S54d40TvJxI/AAAAAAAAlio/sIAs5GKpg7E/s400/pix+b.JPG

http://1.bp.blogspot.com/_stxylFr6jLM/S54dnrsKyII/AAAAAAAAlig/FmKSWk9kJ_4/s400/pix+a.JPG
Askari Aliyekataa Rushwa Kiwanja Cha Ndege Cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Huyu Hapa
Askari namba E. 7235 PC John Anthony Mwesongo wa kituo cha polisi cha Polisi Kiwanja cha ndege cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akionyesha hundi yake
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Saidi Mwema akimkabidhi askari namba E. 7235 PC John Anthony Mwesongo wa kituo cha polisi cha Polisi Kiwanja cha ndege cha Mwalimu Julius Nyerere hundi yake ya shilingi Milioni Nnne katika ukumbi wa maofisa wa polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam
-------
Askari namba E. 7235 PC John Anthony Mwesongo wa kituo cha polisi cha Polisi Kiwa cha ndege cha Mwalimu Julius Nyerere ambaye ni mtunza vielelezo wa kituo hicho, akionyesha hundi ya T. Sh. 4,000,000 motisha baada ya kukataa rushwa ya dola za kimarekani 3,000 na watu waliokamatwa na madawa ya kulevya waliomtaka abadilishe vielelezo hivyo. Hundi hiyo alikabidhiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP),Saidi Mwema Jana katika ukumbi wa maofisa wa polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Picha Na Hassan Mndeme- Jeshi la Polisi

Picha na Habari na Haki Hakingowi

Dua
03-16-2010, 03:29 PM
This guy has made my day. Nitajaribu vile vile kuona jinsi ambavyo tunaweza kumpa big up huyu kamanda kama mfano bora wa kuigwa.