View Full Version : JF.. return of the Jedi
mwanakijiji
03-16-2010, 07:41 PM
Najua watu wanajiuliza nini kimetokea JF na kwanini hawawezi kuipata.. taarifa zinadokeza kuwa kuna update ilikuwa inafanyika ambayo ilitarajiwa kuchukua muda mfupi lakini imechukua muda more than originally anticipated. Mafundi mitambo wako kazini kama wale wa Ngeleja na Gridi ya Taifa.. so.. stay put.. usicheze mbali..
Ach-F
03-16-2010, 08:26 PM

Itabidi wachangiaji wa Jamii Forum waje tulumbane hapa kwa sababu JF inasuasua, wasije wakajisahau na kufikiri JF ni kama CCM. Bila wasiwasi wanakaribishwa Kijijini.
Wacha
03-16-2010, 08:32 PM
Itabidi wachangiaji wa Jamii Forum waje tulumbane hapa kwa sababu JF inasuasua, wasije wakajisahau na kufikiri JF ni kama CCM. Bila wasiwasi wanakaribishwa Kijijini.
Khe khe kheeeeee habari kutoka JF zinasema jukwaa hilo litarudi hewani pindi Chelsick watakapowabamiza Inter, kwa hiyo sala zenu zinahitajika ili washinde vinginevyo mambo hayawezi kuwa mswano. Teh teh teh ..... ......
Wacha
03-17-2010, 03:51 AM

Du! Noma hii naona JF itakuwa kimeo kwa muda maana The special one kafanya kufuru na balaa kule Darajani al-manusura Drog the Bar kukunja ngumi. Invisible usijali njoo hapa utupe update kwenye sister site.
Wacha
03-18-2010, 01:02 PM
JF imerudi lakini ndio hivyo tena huwezi kutuma posts. I think my computer has developed a virus only with JF. Bora Chelsick wamalize matanga mapema wakati Romano ameahidi kumfukuza Carlo kama hata land Premier League pale darajani..
Ach-F
03-22-2010, 01:01 AM
Pole ndugu zetu wa Chelsea naona hata mtandao wa JF haupo hewani na tetesi kama kawaida huwa haziishi hasa wanapokuwa na wakati mgumu kwenye EPL. Matumaini yao ya kutwaa kikombe hiki yapo katika hati hati baada ya kutoka sare na Blackburn Rovers.
Tusubiri tuone pengine tajiri wa hiki kilabu ataanza kufagia nyumba mapema kabla musimu haujaisha.
We are real waiting for the new JF era-but why these forums have almost the same outlooks these days?
Ach-F
04-05-2010, 02:20 PM
We are real waiting for the new JF era-but why these forums have almost the same outlooks these days?
V-bulletin ndio providers wa template za forums kwa hiyo you can chose which one you prefer. Ukisoma chini kwenye kila page unaweza kuona V-bulletin version etc
Mpita Njia
04-05-2010, 03:53 PM
naona sasa hivi hata kufunguka haifunguki, sijui ndo inakaribia kupona?
Wacha
04-05-2010, 04:05 PM
naona sasa hivi hata kufunguka haifunguki, sijui ndo inakaribia kupona?
Hiyo bado iko kwa alijojo.
mwanakijiji
04-05-2010, 05:33 PM
Na miye kwa kweli niko gizani hapa...
fidel80
04-06-2010, 02:42 PM
Itabidi wachangiaji wa Jamii Forum waje tulumbane hapa kwa sababu JF inasuasua, wasije wakajisahau na kufikiri JF ni kama CCM. Bila wasiwasi wanakaribishwa Kijijini.
Ndo kama hivi tumehamia hapa na wengi watakuja na kujiunga.
Hapa sasa MM ndo atapiga bao la kisigino.
Ach-F
04-07-2010, 02:03 AM
Ndo kama hivi tumehamia hapa na wengi watakuja na kujiunga.
Hapa sasa MM ndo atapiga bao la kisigino.
Karibu sana mkuu tutabanana hapa hapa.
Na miye kwa kweli niko gizani hapa...
Hilo giza limekuwa totoro nini?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.