PDA

View Full Version : RO aachie ngazi?

mwanakijiji
03-25-2010, 07:58 PM
Kuna kila sababu kuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini Bw. Rashid Othman amekalia kuti kavu; amefanya hivyo si kwa kulazimishwa bali kwa kuchagua mwenyewe. Sasa likikatika nani atalaumiwa?

Ach-F
03-26-2010, 12:18 AM
Kuna kila sababu kuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini Bw. Rashid Othman amekalia kuti kavu; amefanya hivyo si kwa kulazimishwa bali kwa kuchagua mwenyewe. Sasa likikatika nani atalaumiwa?

Tatizp ndio hilo watu wamekalia nafasi tangu miaka kadha hata kama hawana uwezo bado wamo wamo tu hii nchi inatakiwa kufagiliwa from top to bottom.