PDA

View Full Version : Holiday za Kibongo



mwanakijiji
04-05-2010, 05:36 PM
Watanzania tunajitahidi sana kupumzika kufanya kazi ili tupate muda wa kujirusha.. fikiria

Jan 1 - Mwaka mpya
Jan 12, Mapinduzi ya Zanzibar
Maulidi
Siku kuu ya Pasaka
Siku ya Karume
Sikukuu ya Muungano
Mei Mosi!
Sabasaba
Nane Nane
n.k n.k

Dua
04-05-2010, 05:39 PM
Watanzania tunajitahidi sana kupumzika kufanya kazi ili tupate muda wa kujirusha.. fikiria

Jan 1 - Mwaka mpya
Jan 12, Mapinduzi ya Zanzibar
Maulidi
Siku kuu ya Pasaka
Siku ya Karume
Sikukuu ya Muungano
Mei Mosi!
Sabasaba
Nane Nane
n.k n.k

Imepewa sikukuu yake kama Robert Mugabe? Naona turudi tu kwenye utawala wa kiimla.

Sofia
04-05-2010, 07:10 PM
sasa watu tunafanya kazi namna hii tusipate hata kupumzika? mwakijiji hata huko majuu watu wanapumzika jamani.. miye ndio nimeunganisha hadi next monday!

Mpita Njia
04-05-2010, 10:55 PM
Imepewa sikukuu yake kama Robert Mugabe? Naona turudi tu kwenye utawala wa kiimla.

Yea, kila April 7 twasherehekea

mwanakijiji
04-05-2010, 11:48 PM
Bado hatujaweka siku ya Kikwete.. na siku ya Kawawa.. tulitakiwa kuwa na siku moja tu inaitwa siku ya Waasisi (Founders' Day)..

fidel80
04-06-2010, 02:40 PM
Dah Likizo imekuwa ndefu mpaka inaboa sasa leo kazi kesho mapumnziko duh.

Ach-F
04-07-2010, 02:18 AM
Bado hatujaweka siku ya Kikwete.. na siku ya Kawawa.. tulitakiwa kuwa na siku moja tu inaitwa siku ya Waasisi (Founders' Day)..

Hata mimi nitakapokuwa rais mtanipa siku yangu kha kha khaaaaaaaaaaaaaaaaa, Bongo patamu sana ukiwa na madaraka - naona jamaa tayari wana mikakati ya kubadili katiba watawale milele.

Wacha
04-08-2010, 08:25 PM
http://www.dailynews.co.tz/pics/04_10_jwt619.jpg


ZANZIBAR President Amani Abeid Karume (fifth left) and Union President Jakaya Kikwete (fourth left) lead other dignitaries in saying special graveside prayers for the soul of the architect of the Zanzibar Revolution of 1964 and first Isles President, Sheikh Abeid Amani Karume, yesterday. (Photo by Ramadhan Othman)

Hivi wanashindwa nini kumpa Okelo haki yake ya kuongoza Mapinduzi?