View Full Version : Kwanini tusiuite huu Uhuni wa kisiasa?
mwanakijiji
04-08-2010, 09:15 AM
Ati mitambo ya Dowans imeshauzwa kwa kampuni ambayo haitajwi; matokeo yake:
a. Hata kama tukitaka kuikamata mitambo hiyo sasa hivi hatuwezi kwani siyo ya Dowans tena
b. Kama tukitaka umeme tunaweza sasa kununua kwani tutakuwa tunanunua kutoka kwa kampuni nyingine na siyo Dowans.
c. Fedha ambazo tumeshawalipa kwa kusafirisha mitambo.. Bil. 40 ndio zimeshaliwa na siyo Kikwete wala Ngeleja watakaozipigania zirudi.
d. Kampuni ya Dowans itaanza mchakato muda si mrefu wa kufilisiwa na kutokomea nchini kama ilivyo kawaida ya kampuni za kitapeli.
e. CCM wataomba kura tena wakiahidi kutatua tatizo la nishati na watanzania kama waliorogwa watawapa tena!!
Sofia
04-08-2010, 09:38 AM
mwanakijiji unatumia lugha kali mno! si busara kuwaita viongozi wetu waliochaguliwa na wananchi kuwa ni wahuni.
janny
04-08-2010, 11:38 AM
mwanakijiji unatumia lugha kali mno! si busara kuwaita viongozi wetu waliochaguliwa na wananchi kuwa ni wahuni.
Sofia Lugha kali ni ipi hapo ..ni wahuni kweli maana wanafanya mambo ya kihuni kwa nini waitwe jina zuri..
Mie ningewaita ..wahuni ,mataperi,wezi,wafujaji wa mali ya umma ,wenye kujipenda wenyewe na nafsi zao
aaagh
mwanakijiji
04-08-2010, 08:00 PM
Duh.. Janny.. naona unatoa uvivu kabisa!!!
Wacha
04-09-2010, 03:53 PM
Watanzania tulivyo wajinga huyu, Jakaya Kikwete na makampuni yake ya Dowans via RA, Barrick via Sin bin Clair ni mchafu tu kama Mkapa. When will we remove these rotten bustards? We angalia tu jinsi anavyojiuza kama malaya?
Palipina
04-09-2010, 11:11 PM
We Sofia jina gani kwako unaona linawafaa hawa watu? Mimi nitawaita wahuni,wazembe,wajinga,malimbukenii,wakatili nini tena. Tuwaite majina mazuri kwa kipi kizuri walichotufanyia mpaka sasa.Mbona unakuwa kama huelewi ni maisha gani Watanzania hasa waliopo vijijini wanayoishi wakati kuna mijitu inafanya maamuzi bila kutumia akili,utu na uungwana.
Ni wajinga tu period!!
Ach-F
04-09-2010, 11:25 PM

Safi sana hii hawa jamaa wanajisahau na kufikiria wanawafanyia fadhila Watanzania kumbe huu ni wajibu wao ambao waliukubali walipochukua madaraka.
Trader
04-10-2010, 12:51 PM
Ati mitambo ya Dowans imeshauzwa kwa kampuni ambayo haitajwi; matokeo yake:
a. Hata kama tukitaka kuikamata mitambo hiyo sasa hivi hatuwezi kwani siyo ya Dowans tena
b. Kama tukitaka umeme tunaweza sasa kununua kwani tutakuwa tunanunua kutoka kwa kampuni nyingine na siyo Dowans.
c. Fedha ambazo tumeshawalipa kwa kusafirisha mitambo.. Bil. 40 ndio zimeshaliwa na siyo Kikwete wala Ngeleja watakaozipigania zirudi.
d. Kampuni ya Dowans itaanza mchakato muda si mrefu wa kufilisiwa na kutokomea nchini kama ilivyo kawaida ya kampuni za kitapeli.
e. CCM wataomba kura tena wakiahidi kutatua tatizo la nishati na watanzania kama waliorogwa watawapa tena!!
And here we go again. Hoodwink time! Go figure! Ah well, same ol' same ol'
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.