PDA

View Full Version : Mchakato wa Uchaguzi ndani ya CCM uko hivi..



mwanakijiji
04-12-2010, 09:12 PM
Ratiba ya mchakato wa kupata wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu ujao

Julai 16 Kupendekezwa kwa wagombea nafasi za urais

Julai 17 Kutangazwa kwa wagombea wa urais wa Muungano na rais wa Zanzibar,

Julai 26-28 Kutolewa kwa fomu za wagombea wa nafasi ya ubunge, udiwani na ujumbe wa baraza la wawakilishi.

29 Julai-Agosti 7 Kampeni za wagombea hao ndani ya chama

Agosti 9-10 Matokeo ya kura za maoni

Agosti 11 Kamati za siasa wilaya kujadili wagombea ubunge na uwakilishi

Agosti 15 Kamati maalum ya halmashauri kuu kuwajadili wagombea wa ubunge na uwakilishi wa majimbo na viti maalum

Agosti 16 hadi 17 Sekretarieti ya NEC kujadili wagombea

Agosti 18 na 19 Kamati kuu kupendekeza majina ya wagombea.