PDA

View Full Version : The best way to cook chicken?



mwanakijiji
04-21-2010, 04:45 PM
Jamani nani anaweza kutudokeza njia bora ya kutengeneza kuku mtamu..?

Ach-F
04-21-2010, 07:42 PM
Jamani nani anaweza kutudokeza njia bora ya kutengeneza kuku mtamu..?

Ukishanunua toka supermarket kama upo majuu mweke kwenye oven baada ya muda muondoe na anza kumdonoa. Mimi sio mtaalam wa kupika lakini kuku huyo ni bomba sana kuliko wa kuchemsha. kama uko Manzese au Mbamba bay baada ya kumnunua chemsha maji mloweke kwa kama sekunde 20 hivi then mnyonyoe taratibu baada ya hapo mbanike kwenye mkaa wa moto mkali usisahau kuwa na vimbwanga vyote vya kumfaidi.