PDA

View Full Version : Wanaume wengine kwa uwekezaji tu?



mwanakijiji
04-28-2010, 12:30 AM
http://4.bp.blogspot.com/_J7fWdQi13jI/S9agQkHpC3I/AAAAAAAAmTM/TNtwi-GkXWQ/s1600/ehe.jpg

Ach-F
04-28-2010, 02:35 PM
Khe khe khe jamaa wameamua kumpiga vijembe Jakaya Kikwete na uuzaji wa nchi yetu kwa wawekezaji. CCM wameshindwa kuongoza kwa miaka kadhaa na sasa baada ya kula bila kunawa mikono wamewaambukiza WTZ ukimwi ambao kuondoka kwake ni katika kuwang'oa madarakani Chichiemu.