View Full Version : Piramidi jingine limeanza...
mwanakijiji
04-30-2010, 07:59 PM
Jamani nimepata taarifa kuwa mchezo mwingine wa Piramidi umeanza na huo nao kama DECI unajiandaa kuliza watu...
Ach-F
05-01-2010, 10:51 PM
Jamani nimepata taarifa kuwa mchezo mwingine wa Piramidi umeanza na huo nao kama DECI unajiandaa kuliza watu...
Mkuu unauliza majibu? DECI zitaibuka tu kwa sababu serikali haichukui hatua madhubuti kwa wale walioiba pesa za walalahoi ni ngonjera tu na hamna kitu ni sawa na fedha za EPA etc hii serikali itaamka wakati CCM wameng'olewa. Watakuwa wanaota njozi wakati huo.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.