mwanakijiji
05-14-2010, 08:48 PM
Sijui ni kitu gani kinakoroga mambo; mara kwa mara nimesikia ati huyu binti amepiga picha za ngono na wakati mwingine wanasema picha za 'utupu". Je ni kitu kile kile? Siyo kila mtu anayepiga picha utupu amepiga picha za ngono!
Nadhani kuna jitihada ya wazi ya kumfanya huyu binti awe kama shetani na kumdunisha kila apitapo. Naomba nitoe pendekezo mwacheni Nsia awe.
Awe mwanamke ajipendaye
Awe mpenzi wa mtu amtakaye
Awe msomi awezaye
Awe na maisha ayatakayo
Awe ni mke kwa mme wake
Awe ni mama kwa watoto wake
Awe vile anavyotaka awe!
Tusijaribu kuyahukumu maisha yake yote kwa picha!!!
SOMA HABARI ZAIDI KWENYE GLOBAL PUBLISHERS