PDA

View Full Version : Mchungaji nimejimuvuzisha

Mchungaji Ladslaus
11-24-2008, 12:46 AM
Mie Mchungaji wa Kondoo, Mbuzi, Ng'ombe, nakadhalika nimejimuvuzisha kuja na kwa huku kwa Mwanakijiji.

Admin ameshanikaribisha lakini ninahitaji washkaji wenzangu kama Mpita njia, Kepa, Mwafrika wa Kike, na wengineo wote wote wote wote kabisa nao wanikaribishe.

Mbarikiwe wote.

mwanakijiji
11-24-2008, 02:14 AM
Karibu kabisa kwa mikono 1000 Mchungaji!! Tunayofurahaa tele kwa wewe kuungana nasi. Karibu sana uchunge kondoo na mbuzi..

Kepa
11-24-2008, 02:33 AM
Mie Mchungaji wa Kondoo, Mbuzi, Ng'ombe, nakadhalika nimejimuvuzisha kuja na kwa huku kwa Mwanakijiji.

Admin ameshanikaribisha lakini ninahitaji washkaji wenzangu kama Mpita njia nao wanikaribishe.

Mbarikiwe wote.

Karibu Mchungaji japo hujanitaja jina lakini najisikia kukaribisha kwa nguvu zoteeee:D:D:D

Mchungaji Ladslaus
11-24-2008, 06:08 PM
Karibu Mchungaji japo hujanitaja jina lakini najisikia kukaribisha kwa nguvu zoteeee:D:D:D

Mkuu Kepa, tupo pamoja

mwanakijiji
11-24-2008, 07:46 PM
Labda mchungaji hatojisikia kukaribishwa pasipo Mpita Njia kutoa ukaribisho..

Kepa
11-24-2008, 08:13 PM
Mkuu Kepa, tupo pamoja

Makini kabisa Pastor!!!

Kepa
11-24-2008, 08:14 PM
Labda mchungaji hatojisikia kukaribishwa pasipo Mpita Njia kutoa ukaribisho..

Mshtue basi mpitanjia apite hili eneo ili aduu ze niidifuli:D

mwafrika wa kike
11-24-2008, 09:22 PM
Mie Mchungaji wa Kondoo, Mbuzi, Ng'ombe, nakadhalika nimejimuvuzisha kuja na kwa huku kwa Mwanakijiji.

Admin ameshanikaribisha lakini ninahitaji washkaji wenzangu kama Mpita njia nao wanikaribishe.

Mbarikiwe wote.

Mchungaji karibu sana.... wakati tunamsubiria mpita njia akukaribishe!

Mchungaji Ladslaus
11-24-2008, 09:55 PM
Mchungaji karibu sana.... wakati tunamsubiria mpita njia akukaribishe!

Du! Dada yangu mpendwa, mwafrika wa kike (mie ni mwafrika wa kiume:D)
Asante kwa ukaribisho wako.
Kumbuka tupo pamoja
Pia ujue Mpita njia ni "Askofu":).

Mchungaji Ladslaus
11-24-2008, 09:57 PM
Labda mchungaji hatojisikia kukaribishwa pasipo Mpita Njia kutoa ukaribisho..

Mzee Mwanakijiji,
Si unajua kuwa Mpita njia ndiye mwajiri:D wangu?

Kepa
11-25-2008, 01:18 AM
Alaaa kumbe!!!:rolleyes::rolleyes:

Mpita Njia
11-25-2008, 11:01 AM
Labda mchungaji hatojisikia kukaribishwa pasipo Mpita Njia kutoa ukaribisho..

Mkuu Mchungaji, Salute. Karibu sana. Nilisinzia kidogo lakini... tupo pamoja