PDA

View Full Version : Kuhusu Nyerere: Hii ni kweli kiasi gani?



mwanakijiji
11-24-2008, 07:19 AM
Nimekutana na hii article kutoka THE INDEPENDENT (http://www.independent.co.uk/news/world/africa/nyerere-flawed-fighter-of-colonialism-buried-as-hero-739028.html)baada ya kifo cha Mwalimu sehemu yake inasema hivi:


Nyerere, who died from lymphocytic leukaemia, ruled Tanzania from 1962 until 1985, after independence from Britain. He was a visionary, and overthrew Idi Amin in Uganda. He believed in African co-operation and backed the Zimbabwean, South African and Mozambican independence struggles. But at home he suppressed liberty, ordered forced removals to collective farms and imprisoned thousands of opponents of his strict Maoist regime.

Hilo nililopigia mstari lina ukweli kiasi gani? Ni kina nani "maelfu" waliokuwa wapinzani wa Nyerere walioishia gerezani?

Mchungaji Ladslaus
11-25-2008, 08:29 AM
Mie sikubaliani na kauli kuwa "maelfu" waliishia mahakamani,
maana ninavyomkumbuka yule mzee alikuwa muwazi hata wale waliojaribu kumpindua aliwaweka ndani kifungo cha maisha, pamoja na kuwa walihukumiwa kunyongwa.

Isipokuwa kuna makala fulani nilisoma ilikuwa inasema alinyonga watu 10 je hii nayo ni kweli?