Matigari
07-08-2010, 05:06 PM
Mahitaji
1. Kikombe kimoja cha karanga mbichi( zisizokaangwa)
2. Vitita viwili vya spimach
3. Kitunguu cha wastani
4. vidonge viwili vya Chicken Bulion
5. Vikombe viwili vya maji
6. pili pili ya unga kidogo
7. a pinch of salt
Jinsi ya Kutayarisha
1. Safisha spinach vizuri na ichambue kutoa majani yasiyofaa na vitawi vilivyokomaa
2. ikatekate na kisu iwe nyembamba sana
3. twanga karanga na kuchekecha upate unga wa karanga. Siku hizi ni kawaida watu kutumia coffee grinder au kama una food processor nzuri
4. weka maji katika sufuria unayotaka kupikia
5. ongeza karanga katika hayo maji, katiaa vitunguu, ongeza chicken bullion
6. koroga kuhakikisha kuwa karanga hazigandani, endelea kukoroga mpaka hizo karanga ziwe kama uji, na vitunguu kuiva
7. weka spinach koroga kidogo,
8. weka chumvi kidogo sana ( baada ya kuonja) kwa sababu chicken Bullion huwa ina chumvi.
9 weka pilipili kidogo kama huwa unatumia pilipili.
10. pika kwa dk 10-15 do not overcook the spinach.
10. pakua ulie na ugali.
Unaweza kutumia nazi kwa upishiu huu. Ukitumia nazi, unaweza ukawekavipande vya biringanya kidogo katika tui lanazi kabla ya kuweka spinach.