PDA

View Full Version : News Alert: Mke wa Naibu Waziri afia guest akiwa na nyumba ndogo

mwanakijiji
08-18-2010, 07:28 AM
Nasikia habari kuwa mume wa Naibu waziri wa Elimu ya Juu Bi. Gaudensia Kabaka amefia huko Bunda kwenye nyumba ya wageni akiwa na yule ineyadhaniwa kuwa ni nyumba ndogo.. stay tuned..

Wacha
08-18-2010, 01:46 PM
Nasikia habari kuwa mume wa Naibu waziri wa Elimu ya Juu Bi. Gaudensia Kabaka amefia huko Bunda kwenye nyumba ya wageni akiwa na yule ineyadhaniwa kuwa ni nyumba ndogo.. stay tuned..

Khe khe kweli huu ni uhuru wa mbuzi. Haya nymba ndogo alitowekaje? Je, anashikiliwa na polisi kama muhusika wa huu mgogoro?