PDA

View Full Version : Twilight sucks!

mwanakijiji
11-24-2008, 11:24 PM
Labda ukiwa na mvi movie nyingine zinakuwa ni kama kichekesho cha aina fulani. Nimeenda kuangalia hii movie baada ya mjukuu wangu mmoja "kuipendekeza". What a disappointment. Sasa kurudi kusoma magazeti ati imekuwa namba one ikikusanya karibu milioni 70!!

Kepa
11-25-2008, 01:30 AM

Mzee kwa hiyo movie ulienda na huyo mjukuu au ? Wakati mwingine utamu wa movie au movie kubore huwa ni sababu ya mazingira mazima ya yule mtazamaji

Kepa
11-25-2008, 01:39 AM
Hebu ni PM hightlights za hiyo movie mzee. Naona nashawishika kuichabo

mwanakijiji
11-25-2008, 07:53 AM
movie inahusu vampires.. story line yake ni nzuri sana kwa watoto balehe hasa hawa wa kizungu.. sitoshangaa hiyo movie itafanya vizuri zaidi weekend hii ya thanksgiving..