PDA

View Full Version : Mazoezi ya kula "daku"?



mwanakijiji
08-18-2010, 09:16 AM
Jamani rafiki yangu mmoja nilimpigia simu jioni karibu saa sita za usiku za Dar.. najua ni Mswalihina mzuri tu; nikaona anatafunatafuna kitu.. nikamuulize "mzee daku mapema"? jibu lake liliniacha mdomo wazi. Kasema "bado miye nafanya mazoezi ya daku tu".

Nilishindwa kuendelea kuuliza maswali mengine.. ila mazoezi ya daku kweli yapo?