PDA

View Full Version : Video - Wasanii wauziwa viwanja hewa! Matunda ya Kilimo Kwanza



mwanakijiji
08-19-2010, 06:11 PM
Bila ya shaka wengine mtakuwa mmeshasikia jinsi wiki iiliyopita makundi ya vijana walijipeleka huko Kisarawe katika mpango wa "kilimo kwanza" ili waweze kujipatia maeneo ya ardhi kwenye kijiji kimojawapo. Wakalipa kila mtu nadhani shilingi laki moja na "kugawiwa" viwanja. Kumbe hakuna viwanja vinavyogawiwa!!


http://www.youtube.com/watch?v=ZMRds_lriCE

MAHESABU
09-05-2010, 12:31 AM
lakini tulifanya nini kuwasaidia wasidhulumike?....tulikaa kimya wenzetu wakaliwa