PDA

View Full Version : Amka na Mwanakijiji

Mchungaji Ladslaus
11-25-2008, 08:25 AM
Wapendwa wanakijiji, habarini za asubuhi ya leo
Ningependa kuwatakieni heri na fanaka katika siku ya leo.

(Mchungaji mie)

mwanakijiji
11-25-2008, 09:15 AM
Mchungaji, mwenzio mbona hata sijalala bado!! endelea kusubiri hapa tuna habari nzito inakuja..!!!!

Mpita Njia
11-25-2008, 10:57 AM
Mchungaji, mwenzio mbona hata sijalala bado!! endelea kusubiri hapa tuna habari nzito inakuja..!!!!

Ahh! naona ni tofauti ya masaa tu, wenzio huku ndo tumetoka usingizini. Tunaisubiri hiyo habari nzito

mwafrika wa kike
11-26-2008, 06:06 PM
Mchungaji, mwenzio mbona hata sijalala bado!! endelea kusubiri hapa tuna habari nzito inakuja..!!!!

jamani hii habari nzito mbona haijatokea?

mwanakijiji
11-26-2008, 06:37 PM
Mwafrika.. hiyo post ilikuwa ni ya usiku wa kuamkia Jumatatu!!! masaa yanaoneshwa saa za Tanzania..

anonymous
11-26-2008, 06:38 PM
Hata mimi nimekaa naisikilizia!!