mwanakijiji
10-01-2010, 02:37 PM
Napigisha kura ya maoni kuhusu mwelekeo wa wapiga kura. Naomba wale TU waliojiandikisha kupiga kura na wameshaamua kuwa watapiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, 2010 kujibu. Tafadhali ili jibu mara moja kwa kuandika jina la chaguo lako kwenye sehemu ya "Subject" la email yako. Usiandike kwenye ujumbe. Kura itafungwa Jumapili Oktoba 3, 2010
SWALI: Baada ya kufuatilia kampeni za Urais zinazoendelea nchini, ni nani atakuwa chaguo lako kwa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
* Mutamwega Mugahywa
* Prof. Ibrahim Lipumba
* Dr. Jakaya Kikwete
* Hashim Rungwe
* Dr. Wilbrod Slaa
Tuma jibu lako kwenye mwanakijiji-at-mwanakijiji.com