mwanakijiji
11-25-2008, 10:38 PM
Kwa kadiri anavyozidi kuandaa serikali yake inaonekana kana kwamba POTUS Elect Obama hachezi mbali na mtandao uliokuwa madarakani miaka nane iliyopita. Kwa mtu ambaye ahadi yake na mvuto wake ulihusu zaidi mabadiliko inaonekana kuwa kwa kadiri anavyobadilisha ndivyo vitu vinaendelea kuwa vile vile.
Je mabadiliko ambayo aliyaahidi yanaweza kweli kutokea kwa kutumia watu wale wale? Hii si ndiyo ilikuwa dizaini ya JK pale alipowachukua jamaa wengi wa BM ambao leo hii wamekuwa ni mwiba kwake?
Siyo kwamba anajiandaa kushindwa at the "get go"?