PDA

View Full Version : Serikali yatumia nguvu kuwatawanya Wazee wa EA Dar



mwanakijiji
10-16-2010, 07:52 AM
http://www.youtube.com/watch?v=w6mwlfLG3-Y

My Take:
Sijui haya yalikuwa ni majaribio tu... ?

Ach-F
10-16-2010, 02:43 PM
Mimi hata siku moja siwezi kukubali serikali yetu kutumia nguvu kubwa na kufikiria hilo ni suluhisho. Hatuwezi kukaa kimya kwa miaka yote, hawa wanadai madai kutoka mwaka 1977 wakati Kenya walivunja jumuiya ya Afrika Mashariki kwa makusudi kabisa. Hivi hii serikali mbona ni kiziwi sana? Kinyela kaa kimya hujui lolote wewe kazi yako ni kuwatumikia makafiri wa Chama Cha Majambazi wanaoongozwa na JK. Wafanyakazi kama wewe ndio mnaoharibu utendaji wa kazi za polisi na wananchi kuwafikiria hamfuati sheria. Sasa kama polisi wenyewe hamfuati sheria itakuwa sembuse wananchi?

Akasumo
10-16-2010, 07:56 PM
Ukisikia laana kwa CCM na serikali yake ndo apa.
Wale wazee niliwaona kwa TV wakipiga swala.
Unajua manunguniko ya hawa watu ni kama ya mtoto mdogo Mungu huyapa nafasi.
Alafu issue yao hawa huwa nashindwa kuelewa bse kuna wengine wameshalipwa na wako poa.
Sasa hao wanafuatilia nyongeza au ndo mpaka sasa wameambulia patupu.
Wafanye uamuzi wa Maana tuu unaweza kuta ela zenyewe hazifiki ata Billion 50 ambazo watu wanazitumia kufanya kampeni