mwanakijiji
11-26-2008, 02:02 AM
Waheshimiwa watuhumiwa walipofikishwa mahakamanni katika zama za Utandawazi!!
Picha kwa hisani kubwa ya Global Publishers
Habari zilivuja mapema kwenye saa 12 za Asubuhi; wajanja wakawahi kusubiri..
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/1227606390_askari.gif
Muda ulipofika Mramba na Yona wakaanza kuja taratibu kwa upole tu (nchi nyingine huwa wanatiwa pingu!)
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/1227606390_mrambaa.gif
Watu wengine walishindwa kujizuia; walichelewa maofisini wengine waliahirisha kwenda maofisi kabisa ili wasikose kuwa mashuhuda, na wengine hapo ndiyo ilikuwa kazini!
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1227613223_mramba_4.jpg
Katika mazingira ya aina hiyo unakuwa na ka "ucelebrity" wa aina fulani; hivyo lazima usalimie "ndugu, jamaa, na marafiki" kuihakikishia jamii kuwa fisadi hawezi kuwa mtu mcheshi na mkarimu.
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1227613223_mramba_3.jpg
Mahakamani wakati mwingine mwanga ni hafifu na unaweza usimuone Jaji vizuri, so lazima usafishe "macho yako manne".