View Full Version : Ripoti iliyoanzisha haya yote - Tanzania Mafia
mwanakijiji
11-26-2008, 04:25 PM
Hakuna ripoti iliyozua sokomoko kwenye mtandao hadi Bungeni na hatimaye kusababisha Gavana Ballali akimbie nchi na wengine leo hii kutinga kizimbani kama ripoti hii! Mwanzoni ilipotolewa ilionekana ni "mambo ya mtandaoni tu huwezi kuyathibitisha". Leo hii baada ya watu kadhaa wanaotajwa kwenye ripoti hii kufika kizimbani, tunaweza kusema kuwa kuchapishwa kwake kulikuwa ni mapinduzi ya hali ya juu katika kufungua ulimwengu wa watawala kwa watawaliwa na kuonesha kuwa "mfalme kweli yuko uchi!".
curtis
08-08-2009, 03:48 PM

Mwanakijiji, you are really a great man needed by our country, Tanzania!
kilbark
08-11-2009, 11:28 AM
Mkuu you are making a lot of fans, friends and enemies too. Remember that.
Baraka
08-11-2009, 11:44 AM
Huo Ni ukweli, na justification yake ni ule usemi wa kale kuwa Lisemwalo lipo. Kuna faida gani kuwa na marafiki wakati wanakunyonga?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.