mwanakijiji
11-27-2008, 10:33 AM
Tangu jana kuna habari ambayo imekuwa ikienezwa na iliyoanzishwa na watu fulani kwamba waheshimiwa hao hapo juu wamesomewa mashtaka na yakuwa wamelala Keko kwa tuhuma mbalimbali.
Habari hii KLHN haikuitangaza kwa sababu haina msingi wa ukweli isipokuwa kugongana kidogo kwa matukio fulani ambayo yalisababisha watu watafsiri hivyo.
Wabunge hao bado wako nje na hakuna ambaye ameshtakiwa kwa kosa lolote na KLHN ilipata nafasi ya kuzungumza na mama Meghji ambaye alisema kwa kifupi kuwa habari hizo hazina chembe yoyote ya ukweli.
Kama jambo kama hilo litatokea, kumbuka ukizungumzia habari, unatuzungumzia sisi!!
Habari ndiyo hiyo.