View Full Version : Apson akamatwe!
mwanakijiji
11-28-2008, 10:00 AM
Well, do you really want to know why? Subiri "Cheche" wiki hii.. lakini you can guess why? Lakini wakimkamata wako tayari kuyaona matokeo yake? Huyo panya atakayeamua kumfunga paka kengele yuko tayari kufanywa kitoweo?
Mr. XXX
11-28-2008, 07:24 PM
Akamatwe ili kiwe nini? Mwanakijiji wewe unaanza kuingilia visivyokuhusu! Apson kaitumikia nchi yake vizuri na kwa heshima kubwa na sasa anajishughulisha na mambo yake. Acha kuleta uzandiki bwana. Ya Apson achana nayo!

Are you serious? :mad:
mwanakijiji
11-29-2008, 04:25 AM
Are you serious? :mad:
Believe me, katika mapambano haya kuna mawazo ya kila aina na ukianza kushangaa utachoka rafiki yangu.
Lile darasa la ngumbalo ninafikiri ni la muhimu sana.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.