PDA

View Full Version : Upinzani wa kweli Tanzania hakuna!

Mr. XXX
11-28-2008, 07:33 PM
Serikali ya Rais wetu mpendwa imeanza kuonesha makucha yake. Rais aliwaambia mapema kuwa wasidhanie tabasamu lake ni woga na sasa wameanza kukiona. Kwa muda wa miaka hii miwili upinzani umeshamiri kutokana na kashfa na siyo kuuza sera zao nzuri au kuonesha uongozi.

Wameshamiri na kukomaa kwa sababu ya nyimbo za kashfa kuanzia wakati wa orodha yao ya aibu. Sasa serikali imeanza kushughulikia ufisadi kwa ukali kabisa. Sasa kashfa zote hizi kubwa zikifanyiwa kazi na Rais Kikwete na serikali yake je wapinzani watafanya nini tena kujijenga?

Upinzani wa Tanzania bila kashfa haupo!!

Habari ndiyo hiyo.

Kepa
11-29-2008, 04:27 AM

Do you think these your few lines will shut up us? Dont fool yourself, I bet you are in wrong fligth!!! I beg oooh, drop! ( rafudhi ya KI- NIGERIA)

mwanakijiji
11-29-2008, 04:37 AM
Serikali ya Rais wetu mpendwa imeanza kuonesha makucha yake. Rais aliwaambia mapema kuwa wasidhanie tabasamu lake ni woga na sasa wameanza kukiona. Kwa muda wa miaka hii miwili upinzani umeshamiri kutokana na kashfa na siyo kuuza sera zao nzuri au kuonesha uongozi.

Wameshamiri na kukomaa kwa sababu ya nyimbo za kashfa kuanzia wakati wa orodha yao ya aibu. Sasa serikali imeanza kushughulikia ufisadi kwa ukali kabisa. Sasa kashfa zote hizi kubwa zikifanyiwa kazi na Rais Kikwete na serikali yake je wapinzani watafanya nini tena kujijenga?

Upinzani wa Tanzania bila kashfa haupo!!

Habari ndiyo hiyo.

Tatizo nikuwa CCM na kashfa ni kama chanda na pete haviachani, so as long as CCM is still in power tutaendelea kuwa na kashfa..!!

Kepa
11-29-2008, 04:48 AM
Muziki ndio huo!!!