View Full Version : asanteni
Mr. XXX
11-28-2008, 07:36 PM
Mkuu Mwanakijiji ni timu nzima naomba kuungana nanyi katika mijadala mbalimbali. Tumetoka mbali pamoja na ninaamini tutaendelea pamoja. Ninapenda mambo mengi na hapa najisikia nyumbani.
Hodi?
Mpita Njia
11-28-2008, 09:35 PM
kwa kuwas umeshasema kuwa unajisikia nyumbani, naamini hutopata shida. karibu sana
Ach-F
11-29-2008, 02:15 AM
X cubed
Karibu sana kwenye mkeka huu ambao unawasha moto mara moja.
Mkuu Mwanakijiji ni timu nzima naomba kuungana nanyi katika mijadala mbalimbali. Tumetoka mbali pamoja na ninaamini tutaendelea pamoja. Ninapenda mambo mengi na hapa najisikia nyumbani.
Hodi?
Umeshafika.!!!
Mchungaji Ladslaus
12-01-2008, 09:06 AM
Karibu kundini.
Hilo jina lako la XXX nitakubatiza lingine nikuite XYXYXY.
My more
12-01-2008, 06:10 PM
Karibu kundini.
Hilo jina lako la XXX nitakubatiza lingine nikuite XYXYXY.
Mchungaji naona umeshaanza kazi rasmi:D:D:D Kila la heri.
duru langu
12-03-2008, 12:13 AM
Mchungaji unaogopa XXX yaweza tafsiriwa vingine? lol
Mchungaji unaogopa XXX yaweza tafsiriwa vingine? lol
Mzee tukupe kibarua cha kututafsiria majina nini? naona unakakipaji
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.