View Full Version : Hodi ukumbini
duru langu
11-29-2008, 03:57 AM
Wenyeji mpo?
Nami nimeingia jamvini naamini
nimekuta wenyeji wakarimu na nitakaribishwa
vyema.
Wenyeji mpo?
Nami nimeingia jamvini naamini
nimekuta wenyeji wakarimu na nitakaribishwa
vyema.
Umekaribishwa Dulu, ukumbi ni wako
duru langu
11-29-2008, 04:15 AM
Shukurani kwa kunikaribisha Kepa.
Jina ni duru na sio dulu lol
mwanakijiji
11-29-2008, 04:23 AM
Karibu sana "Duru langu" (sijui tuseme "lako"? Karibu kijijini kwetu hapa, ukumbi na baraza hili ni letu sote..
Shukurani kwa kunikaribisha Kepa.
Jina ni duru na sio dulu lol
Asante bwana mkubwa DURU
Ulimi hauna mfupa v,ilevile vidolenavyo havina macho, Next time I will be careful.
duru langu
11-30-2008, 03:29 AM
Asante bwana mkubwa DURU
Ulimi hauna mfupa v,ilevile vidolenavyo havina macho, Next time I will be careful.
Bora salama tu. Tusonge mbele:)
Mpita Njia
11-30-2008, 11:05 AM
Bora salama tu. Tusonge mbele:)
Na hilo ndilo tunaloomba
My more
11-30-2008, 04:44 PM
Karibu sana "Duru langu" (sijui tuseme "lako"? Karibu kijijini kwetu hapa, ukumbi na baraza hili ni letu sote..
Wakijiji una mambo weye, kwani duru lina maana gani mpaka linaweza kuwa ni duru la 'yeyote'? miye nikizania ni jina tu ati?
duru langu
12-01-2008, 01:55 AM
mmh kila mtu ana duru lake lol
kazi kwako sasa utakapoita jina kamili lol
Mchungaji Ladslaus
12-01-2008, 08:58 AM
Karibu Mkuu "Duru langu" kundini.
My more
12-01-2008, 06:00 PM
mmh kila mtu ana duru lake lol
kazi kwako sasa utakapoita jina kamili lol
Una maana Duru ni neno jingine lenye maana ya Jina?
duru langu
12-01-2008, 10:02 PM
Una maana Duru ni neno jingine lenye maana ya Jina?
Hapana si hivyo. Si unajua kwamba kila mtu
ana duru lake? Hivyo jina langu kamili ni "duru langu"
kama lilivyo jina lako your more oops "My more" :D:D:)
My more
12-02-2008, 02:32 AM
Somo limeeleweka.
Asante
duru langu
12-03-2008, 12:12 AM
Karibu sana
Hapana si hivyo. Si unajua kwamba kila mtu
ana duru lake? Hivyo jina langu kamili ni "duru langu"
kama lilivyo jina lako your more oops "My more" :D:D:)
Majina mengine bwana... kaazi kweli kweli.:)
duru langu
12-13-2008, 02:11 AM
Majina mengine bwana... kaazi kweli kweli.:)
Wala usikonde, si unaona wengine wanajiita K-EPA :D
My more
12-13-2008, 02:42 AM
Wala usikonde, si unaona wengine wanajiita K-EPA :D
kwi kwi kwi kwaaaaaaa
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.