PDA

View Full Version : Ndani ya nyumba! Ngo! Ngo! Ngo!

My more
11-30-2008, 12:07 AM
Waungwana Mwaselambwanji???

Nipeni karibu yangu nijipumzishe kidogo miye. Aaah nimechoka nimetoka mbaliiiii!!!!

Ach-F
11-30-2008, 12:57 AM
Waungwana Mwaselambwanji???

Nipeni karibu yangu nijipumzishe kidogo miye. Aaah nimechoka nimetoka mbaliiiii!!!!

Karibu Karibu Karibu sana mzee lakini Acha fujo ingawa umetoka mbali.:):):):)

duru langu
11-30-2008, 01:33 AM
Waungwana Mwaselambwanji???

Nipeni karibu yangu nijipumzishe kidogo miye. Aaah nimechoka nimetoka mbaliiiii!!!!

Karibu sana ingawa na mimi bado mgeni.
Pole kwa safari

My more
11-30-2008, 01:45 AM
Karibu Karibu Karibu sana mzee lakini Acha fujo ingawa umetoka mbali.:):):):)

Niombe radhi Acha fujo,tafadhari, miye mzee tangu lini?? Si uniulize jamani

My more
11-30-2008, 01:46 AM
Karibu sana ingawa na mimi bado mgeni.
Pole kwa safari

Nashukuru duru langu. Nimeshakaribia

duru langu
11-30-2008, 03:26 AM
Niombe radhi Acha fujo,tafadhari, miye mzee tangu lini?? Si uniulize jamani

Asante kwa taarifa kwamba wewe ni kijana:)

mwanakijiji
11-30-2008, 05:46 AM
Karibu my more.. pole na safari; hatuna vingi vya kunywewa lakini chaguo chochote ulanzi, togwa, au maji ya madafu!

Mpita Njia
11-30-2008, 11:00 AM
Pia usiwe mpita njia, tubaki hapa hapa sote dumu daima

anonymous
11-30-2008, 11:06 AM
Pia usiwe mpita njia, tubaki hapa hapa sote dumu daima

And better be not anonymous:):D

My more
11-30-2008, 04:32 PM
Asante kwa taarifa kwamba wewe ni kijana:)

Tena...?

Nilifikiri ni Acha Fujo ndo alihitaji hizo taarifa.

Lakini sio mbaya nawewe ukichukuwa hiyo tahadhari.

My more
11-30-2008, 04:33 PM
Pia usiwe mpita njia, tubaki hapa hapa sote dumu daima

Jadi yangu kama ni kutoka basi ntakuwa wa mwisho kasorobo.

My more
11-30-2008, 04:35 PM
And better be not anonymous:):D

Aka babu wee niwe Anony sijitaki??? Dunia hii ya leo ishachafuka ati.

My more
11-30-2008, 04:37 PM
Karibu my more.. pole na safari; hatuna vingi vya kunywewa lakini chaguo chochote ulanzi, togwa, au maji ya madafu!

Togwa kwa afya zaidi!!!

My more
11-30-2008, 04:38 PM
Karibu my more.. pole na safari; hatuna vingi vya kunywewa lakini chaguo chochote ulanzi, togwa, au maji ya madafu!

nadhani togwa litanifaa kwa afya zaidi!

Ach-F
11-30-2008, 08:07 PM
Niombe radhi Acha fujo,tafadhari, miye mzee tangu lini?? Si uniulize jamani

Huwezi kuwa Mzee kwa kuitwa mzee. Uzee unakuja na yale ufanyayo na uliyoonyesha kama umetoka mbali lazima uwe mzee huenda hiyo safari yako siyo ya kutoka mbali. Kwani umetokea karibu? Kumbe siyo safari ya mbali, mwenzetu umetokea safari ya wapi?

My more
11-30-2008, 10:47 PM

Unajuaje kama niyafanyayo ni ya kizee? mmmh watu bwana:rolleyes :D
Nimetokea hukooo mkoa wa kijiji cha pili, nimekuja na TZA 11 ndo maana nimechoka, sio uzee.;)

duru langu
12-01-2008, 01:53 AM
Tena...?

Nilifikiri ni Acha Fujo ndo alihitaji hizo taarifa.

Lakini sio mbaya nawewe ukichukuwa hiyo tahadhari.

lolo :D:) lol

Mchungaji Ladslaus
12-01-2008, 09:01 AM
Karibu kundini Mkuu "My more" (your more).

My more
12-01-2008, 06:02 PM
Karibu kundini Mkuu "My more" (your more).

:D:D: kaazi kweli kweli:D
Asante kwa ukaribisho!!

Kepa
12-03-2008, 04:57 PM
Waungwana Mwaselambwanji???

Nipeni karibu yangu nijipumzishe kidogo miye. Aaah nimechoka nimetoka mbaliiiii!!!!

Karibu , naona wenyeji wenzangu wameshakupa Togwa, at your disposal burudika.

Kepa
12-08-2008, 12:42 AM
Aka babu wee niwe Anony sijitaki??? Dunia hii ya leo ishachafuka ati.

Mmmh hapa kijijini kuna vijimisemo hata huambui kitu, any ways tutafika tu:D:D

My more
12-08-2008, 10:42 PM
Mmmh hapa kijijini kuna vijimisemo hata huambui kitu, any ways tutafika tu:D:D

Kama ulikuwepo vile:cool: tutafika tu:D:

Kepa
12-12-2008, 02:49 AM
Kama ulikuwepo vile:cool: tutafika tu:D:

Tungekuwa na thread ya kamusi ya kijiji ili tuwe tunajihudumia wazee tunapokwama, maana humu ndani naona vijana wako fasta!!!:cool: