PDA

View Full Version : ZE KOMEDI Videos

My more
11-30-2008, 01:09 AM
Nimesoma humu kwamba siku ile wakubwa wakinanihii pale kisutu, Wao ( Wakandamizaji- Zekomedi) walikuwa wanafanya recording maeneo hayo hayo, kama kuna video jamani tafadhari wengine tuna..... tunaka-ugonjwa...!!

Samahani hapo juu nimeshindwa kujieleza juu ya wakubwa kwa sababu pana mkwe wangu, kikwetu baba huwa hatusemi anakomba mboga, ila tunasema baba ameipenda mboga ya leo.

duru langu
11-30-2008, 02:25 AM
Baba mkwe wako ni mmoja ya hao wakubwa au hapa ukumbini ndio kuna babamkwe wako?
Kwani kusema "wakubwa wakinanihii" inaweza kutafsiriwa kimtindo pia.

My more
11-30-2008, 11:16 PM
Baba mkwe wako ni mmoja ya hao wakubwa au hapa ukumbini ndio kuna babamkwe wako?
Kwani kusema "wakubwa wakinanihii" inaweza kutafsiriwa kimtindo pia.

Eeeh hayo sana ni yako, mimi sikulenga hapo. Kunradhi wakubwa wengine mliopo hapa.

mwanakijiji
11-30-2008, 11:37 PM
Toba yarabi.. msije kuanza huku upenuni jamani...

My more
12-02-2008, 02:38 AM
Toba yarabi.. msije kuanza huku upenuni jamani...

Better umejituma Mwenyekiti,

Asante kwa hiyo taa ya njano. Viwango vitazingatiwa, Nshakula YAMINI hivyoo Mkuu.

Kepa
12-04-2008, 12:55 AM
Toba yarabi.. msije kuanza huku upenuni jamani...

Aah mambo ya waharabu wa pemba hayo, mimi Sikugundua kama lugha ya Duru langu na My more zingeenda mbali.

Lakini hizo video kweli zipo? Je walikuwa wanawaigiza waheshimiwa au walikuwa kwenye kitalu chao bahati mbaya wakafumania MAFISADI wakiwekwa kati.?:rolleyes:

My more
12-11-2008, 02:17 PM
Aah mambo ya waharabu wa pemba hayo, mimi Sikugundua kama lugha ya Duru langu na My more zingeenda mbali.

Welcome to Mwanakijiji dot com KEPA !!!:D:D:D

My more
12-11-2008, 02:20 PM
Baba mkwe wako ni mmoja ya hao wakubwa au hapa ukumbini ndio kuna babamkwe wako?

Aahh na wewe nawe? mbona kuuliza hivyo? wataka kuleta posa eeh??:):)