PDA

View Full Version : Tunaomba mawazo yenu kuhusu Baraza hili

mwanakijiji
12-01-2008, 08:07 PM
Nakupata vizuri; labda hapa tuwaulize wanachama wengine, ukiangalia forum jinsi ilivyo mtupatia ushauri:

a. Ni forums zipi ziunganishwe au ziwe kundi moja.
b. Ni forums zipi hatuzihitaji
c. Ni forums zipi ni muhimu kuwepo
d. Tovuti nzima ni kitu gani ungependa kibadilike (hata jina jingine unaweza kupendekeza)

Yaani ungebadilisha vipi mpangiliano wa forums hizi. Tunatoa wiki moja hii kukusanya mawazo yenu ili tuweze kufanya update maana tulipoanza ilikuwa ni vichwa vichache tu. Na sasa tunawanachama zaidi ya mia 200 ndani ya wiki mbili hivi siyo rekodi mbaya. Tunaomba mawazo yenu.

shy
12-02-2008, 12:35 PM
hi mwanakijiji ni vizuri ukaweka link ya kudownload cheche iwe tofauti na forum yaani mfano mtu anataka kulink jarida hili na tovuti yake au blogu yake anapata taabu kidogo

ahsante

administrator
12-02-2008, 12:48 PM
hi mwanakijiji ni vizuri ukaweka link ya kudownload cheche iwe tofauti na forum yaani mfano mtu anataka kulink jarida hili na tovuti yake au blogu yake anapata taabu kidogo

ahsante

Case Considered!!!

Lusajo L.M.
12-02-2008, 01:07 PM
Case Considered!!!

Nilifanya registration toka wiki iliyopita lakini kwa bahati mbaya leo ndio nimefanikiwa kufanya activation leo...nimefurahi sana kujiunga na Kijiij.

Mimi maoni yangu hayako sana husiana na majukwaa maana mpaka sasa nimepitia jukwaamoja tu la ukaribisho na mtu kusema chochote husiana na yeye,,,kisha nikaenda kwa new post...

Ningependekeza jambo la kwanza kabisa kitu cha kubadili ni muonekano mzima...kidogo inachanganya ukiangalia Page Banner iliyobeba jina la Mwanakijiji.com na contents za chini. zinakuwa kama haziko related na inakuwa rahisi kwa mtu kughafilika na kubaki anahangaika na links za juu na kusahau za chini. Kwa kifupi navigation inakuwa tata kidogo...thank God we still in beta mode.

Kitu cha pili ni muonekano mzima...tupo katika mstari wa kweli lakini mbona tumefanana sana na JF? Kunaweza kuwa na Technical reason juu ya hilo lakini in the end watu wataona kwamba yote sawa...maana hapa sidhani kama ni ushindani lakini hata social services zinahitaji marketing entry strategies...Nahitaji kuzijua unique features za hapa kijijini...

Naendelea kuwepo ntarudi tena baada ya kuwa kijijini kwa muda fulani...

mwanakijiji
12-02-2008, 05:00 PM

Jambo moja ambalo tunajaribu kuwa tofauti na baraza jingine lolote. Ni vitu gani ungependa kuviona ambavyo vitaonesha tofauti hiyo au ni vitu gani vinafanana na mabaraza mengine?

administrator
12-02-2008, 05:38 PM
Nilifanya registration toka wiki iliyopita lakini kwa bahati mbaya leo ndio nimefanikiwa kufanya activation leo...nimefurahi sana kujiunga na Kijiijini.

Natumai hapo hakuna tatizo la kiufundi ila ulimua tu kuactivate muda uliopenda.

Ningependekeza jambo la kwanza kabisa kitu cha kubadili ni muonekano mzima...kidogo inachanganya ukiangalia Page Banner iliyobeba jina la Mwanakijiji.com na contents za chini. zinakuwa kama haziko related na inakuwa rahisi kwa mtu kughafilika na kubaki anahangaika na links za juu na kusahau za chini. Kwa kifupi navigation inakuwa tata kidogo...thank God we still in beta mode.

Ningependekeza jambo la kwanza kabisa kitu cha kubadili ni muonekano mzima...
Maneno mazito hayo. Ni vizuri ukaweka mapendekezo yako yakaeleweka kiurahisi zaidi kuliko kwenda kwenye hoja nzito kama hiyo:D:D

Kitu cha pili ni muonekano mzima...tupo katika mstari wa kweli lakini mbona tumefanana sana na JF? Kunaweza kuwa na Technical reason juu ya hilo lakini in the end watu wataona kwamba yote sawa...maana hapa sidhani kama ni ushindani lakini hata social services zinahitaji marketing entry strategies...Nahitaji kuzijua unique features za hapa kijijini...

Ni kwa namna gani unafikiri MwanaKijiji.COM inafana na JF??

Naendelea kuwepo ntarudi tena baada ya kuwa kijijini kwa muda fulani...
Unakaribishwa sana Mheshimiwa na maoni yako ni muhimu sana hapa Kijijini.