PDA

View Full Version : Nimekaribia Kijijini...

Lusajo L.M.
12-02-2008, 12:33 PM
Wajameni...

Nawasalimu wote katika Utukufu wa aliye mtawala wa Mbingu na Dunia. Leo ndio naingia rasmi kijijini, ni matumaini yangu kwamba tutapeana changamoto za kweli na hakika katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo...

Furaha zaidi ni kwamba msukumo wa kujiunga kijijini haukuwa kama ule wa mwaka 1967, baada ya kupitishwa azimio... Tutakuwa pamoja hoja kwa hoja na hatua kwa hatua katika kuchangia maendeleo ya nchi hii..kifikra na kwa vitendo.

Nawasilisha.

mwanakijiji
12-02-2008, 05:05 PM

Karibu Lusajo, ndiyo kijijini hapa!! Tumefurahi wewe kuungana nawe. Naona wenyeji wengine wako vibaruani wakirudi watakukaribisha!

mwafrika wa kike
12-02-2008, 05:15 PM
Wajameni...

Nawasalimu wote katika Utukufu wa aliye mtawala wa Mbingu na Dunia. Leo ndio naingia rasmi kijijini, ni matumaini yangu kwamba tutapeana changamoto za kweli na hakika katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo...

Furaha zaidi ni kwamba msukumo wa kujiunga kijijini haukuwa kama ule wa mwaka 1967, baada ya kupitishwa azimio... Tutakuwa pamoja hoja kwa hoja na hatua kwa hatua katika kuchangia maendeleo ya nchi hii..kifikra na kwa vitendo.

Nawasilisha.

Karibu sana Lusajo

Mchungaji Ladslaus
12-02-2008, 08:24 PM
Wajameni...

Nawasalimu wote katika Utukufu wa aliye mtawala wa Mbingu na Dunia. Leo ndio naingia rasmi kijijini, ni matumaini yangu kwamba tutapeana changamoto za kweli na hakika katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo...

Furaha zaidi ni kwamba msukumo wa kujiunga kijijini haukuwa kama ule wa mwaka 1967, baada ya kupitishwa azimio... Tutakuwa pamoja hoja kwa hoja na hatua kwa hatua katika kuchangia maendeleo ya nchi hii..kifikra na kwa vitendo.

Nawasilisha.

Karibu sana Mhasham Lusajo L.M.
Tulishafika huku kitambo akina Mchungaji na wengineo.

mwanakijiji
12-02-2008, 10:50 PM
Naona tayari tuna mchungaji, mhashamu.. sasa tunasubiri shehe fulani hivi.. au Alhaji fulani.. wote wanakaribishwa!

duru langu
12-03-2008, 12:10 AM
Karibu sana Lusanjo. Mwaka 1967 kungekuwapo
na urahisi wa mtandao basi na msukumo wake
pia ungekuwa wa tofauti.

My more
12-03-2008, 03:20 PM
Naona tayari tuna mchungaji, mhashamu.. sasa tunasubiri shehe fulani hivi.. au Alhaji fulani.. wote wanakaribishwa!

Na wote naona mwenyekiti ameshawaingiza kazini rasmi kwa ujumbe huo.
Karibuni Muwajibike kila mtu kwa nafasi yake.