mwanakijiji
12-02-2008, 06:24 PM
Mchezo unaochezwa na watu wa UwT haukubaliki.
a. Mchukue Nyaraka za BoT (bila makabidhiano rasmi na Gavana mpya) na anayetumwa kuongoza operesheni hiyo ni mtu ambaye anahusishwa na kuchukua fedha za EPA halafu baadaye anaongoza kamata kamata ya wenzake.
b. Mtu huyu alistaafu mkamrudisha kwa "maagizo" ya Apson
c. Mtuhumiwa huyo huyo mkamuacha aongoze taskforce hiyo!
d. Wakati akiwa mtumishi wa TISS alishaanza biashara zake za pembeni
e. Mpango wa kumpeleka Mtaliano mahakamani (ka nzi keti kamemuona ananyong'onyea siku hizi mbili) (hujui ni nani soma Cheche) ukitekelezwa hakikisheni na Ngowi yumo.
f. Hadithi mliyoitunga ya Infiltration inaweza kupanguliwa kama kuangushwa kijiti cha "tule tumbakishie baba").
g. Bahati mbaya sana kama wahalifu wengine wahalifu hufanya makosa na Apson na Ngowi wamefanya makosa ambayo mnayajua na mnashiriki kuyaficha kwa sababu ni "wenzenu".
Mnataka kupewa pongezi kwa yale yanayoendelea sasa, hata hivyo pongezi hizo zinakuja kwa sababu wenyewe mnashiriki kuchafua ushahidi na mchakato mzima wa kutafuta haki.
Ushauri wangu kwa DPP. Ingilia kati UwT na uichunguze vinginevyo unaingizwa mjini kwa ushahidi nusu!!