mwanakijiji
12-03-2008, 04:39 AM
Tatizo la movie za kihindi bwana ni muda! Nilianza hii movie saa moja na robo hivi kuja kumaliza karibu saa tano na nusu! Halafu kama kawaida hakukosi kuimba na kulia! Ila the storyline yako ni nzuri sana na moral of the story is incredibly deep! Sijui unaweza kuipata wapi, ila nilinunua kwa wauza Paratha (Chapati) kwa dola moja!